ya kwetu haya mbona ni ya bei ya chini sana ukilinganisha na yale ya Nairobi, ikiwa ni pamoja na viwanda vitakavyobomolewa kupisha barabara....jengo la tanesco ubungu likibomolewa na jengo la mkuu wa mkoa kule karume..tutafanya barabara zetu zipanuke na ziwe nzuri...