Mvutano kati ya Iran na utawala haramu wa Israel vita mpya kuibuka?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,890
Kujaribiwa irada na nguvu ya Iran; kosa la kistratijia la Netanyahu

Kumetokea mvutano kati ya utawala haramu wa Israel na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kufuatia hatua ya utawala huo ya kufanya uharibifu katika kutuo cha urutubishaji urani cha Iran katika eneo la Natanz, uharibifu ambao umetajwa na Iran kuwa ni ugaidi wa kinyuklia.

Tarehe 6 Aprili, vibaraka wa Israel walilenga kwa gruneti meli ya Iran ya Saviz ikiwa katika maji ya Bahari ya Sham na siku 6 baadaye yaani tarehe 12 Aprili, kituo cha nyuklia cha Iran kikalengwa na uharibifu wa Israel. Kuna nukta tatu muhimu zinazopasa kuzingatiwa katika matukio hayo ya kigaidi ya Israel dhidi ya maslahi ya Iran.

Nukta ya kwanza ni kuwa Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel hamwamini hata waziri wake wa vita, Benny Gantz, kwa sababu hakumfahamisha uamuzi wake wa kufanya uharibifu huo katika kituo cha nyuklia cha Iran. Akizungumza siku ya Jumanne mwishoni mwa safari ya waziri mwenzake wa Marekani Lloyd Austin, katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel, Benny Gantz amesema kwamba ameomba uchunguzi ufanyika haraka katika mashirika ya ujasusi ya utawala huo ya Mosad na Shin Bet kuhusu uharibifu huo katika kituo cha Natanz. Gantz amesema kuwa ni jambo baya na hatari kwa kiongozi wa utawala huo kutowajibika na kuchukua hatua za kibinafsi na kisiasa ambazo zinahatarisha usalama wa Wazayuni. Matamshi hayo yanathibitisha wazi kwamba mvutano wa kisiasa kati ya viongozi wa utawala huo umewapelekea wasiweza kufanya mashauriano ya lazima kati yao, hata yale yanayohusu usalama wa utawala huo.

Nukta ya pili ni kwamba uharibifu huo umefanyika katika hali ambayo duru mpya ya mazungumzo kati ya Iran na kundi la 4+1 yanaendelea huko Vienna Austria na ripoti zinazotolewa zinaoonyesha kuwa pande mbili hizo zimeridhishwa na hatua iliyopigwa katika mazungumzo hayo. Netanyahu ambaye katika utawala wa Donald Trump nchini Marekani alifanya juhudi kubwa hadi kumshawishi kiongozi huyo aiondoe Marekani katika mapatano ya nyuklia ya IAEA, hivi sasa hana matumaini makubwa na serikali mpya ya Marekani inayoongozwa na Rais Joe Biden, na kwa msingi huo ameamua kufanya uharibifu katika kituo cha nyuklia cha Natanz ili kuvuruga mazungumzo ya Vienna.

Katika makala iliyoandikwa na Yonah Jeremy Bob, mwandishi anayejihusisha na masuala ya usalama, ujasusi na ugaidi katika gazeti la Kizayuni la Jerusalem Post ameandika kwamba licha ya kutojulikana vyema wakati ambao Marekani inapasa kurejea katika mapatano ya JCPOA, lakini ni wazi kwamba utawala wa Kizayuni umeamua kufanya uharibifu katika kituo cha nyuklia cha Natanz ili kuvuruga mazungumzo yanayoendelea mjini Vienna.

Utawala wa Tel Aviv umeamua kufanya ujaribifu katika kituo cha urutubishaji madini ya urani huko Natanz katika hali ambayo mivutano ya kisiasa imepamba moto huko Isreal na katika upande wa pili kuna uwezekano wa kupigwa hatua nzuri katika mazungumzo ya Iran na nchi za Magharibi mjini Vienna. Gazeti la Jerusalem Post limeutaja uharibifu huo wa Israel kuwa vita vyake vya siri dhidi ya Iran jambo ambalo Benny Gantz ametahadharisha vikali juu yake.

Nukta ya tatu ni kuwa inaonekana kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa sasa imeweka pembeni siasa zake za 'subira ya kistratijia' kuhusiana na hatua hizo za uharibifu wa Israel na kuamua kulipiza kisasi dhidi ya utawala huo wa kigaidi. Iran inaamini fika kwamba hatua hizo za uharibifu hazijatekelezwa bila ya ufahamu kamili wa Marekani na hata baadhi ya nchi za Ulaya. Hivyo katika hatua ya kwanza ya radiamali yake, Iran imeamua kuuongeza kiwango cha urutubisha madini ya urani hadi asilimia 60. Kuhusu hilo, Ali Akbar Salehi, Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran anasisitiza kwamba hatua hiyo ya Iran imechukuliwa katika kivuli cha sheria ya hatua ya kistratijia iliyopasishwa karibuni na Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) kwa ajili ya kuondoa vikwazo vya kidhalimu dhidi ya taifa la Iran. Kwa ibara nyingine ni kwamba hatua za uharibifu za Israel dhidi ya maslahi ya Iran si tu hazitadhoofisha nguvu ya nyuklia ya Iran bali zitachangia na kuimarisha zaidi azma ya Tehran ya kuchukua hatua muhimu zaidi katika mapatano ya JCPOA.

Mashinepewa za kurutubisha urani zilizotengenezwa na wataalamu wa ndani ya Iran

Maudhui ya mwisho ni kuwa, kufikia sasa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanya juhudi kubwa kwa ajili ya kuzuia kuibuka vita vipya katika eneo la Asia Magharibi (mashariki ya Kati), lakini kwa kuitilia maanani uwezo wake mkubwa wa kiulinzi (Iran), kuendelea hatua za uchochezi na uharibifu za Israel huenda kukalisukuma eneo hili katika vita vipya, jambo ambalo viongozi wengi na hata wa ndani ya Israel yenyewe, wamekuwa wakitahadharisha juu yake.

Huenda Netanyahu anajaribu kuibua vita vipya katika eneo kwa lengo la kujikwamua katika hali ngumu ya kisiasa aliyomo ndani yake kwa sasa huko Israel bila ya kujali usalama wa utawala huo wa Kizayuni, lakini ni wazi kuwa iwapo vita vitazuka, bila shaka hatima ya uhai wa utawala huo wa kigaidi haitakuwa tena mikononi mwake.

4bxzb326b3ed531u06f_800C450.jpeg
 
U
Eeh Mungu nakuomba ibariki Israel na Tanzania. Amina!
Metumia vogezo gani kuiombea parestina, unahs ni taifa teule bado...wanauteule gan Kama wanafurah wenzao wakimwaga damu, labda Kama tta kubaliana kuwa mungu ni wao peke yao nae akathibitisha hvo. I hate this chaos kwann kila mtu asiish kwao
 
Hii vita ni ya karne na karne. Kwenye Biblia kitabu pekee kitakatifu cha Mungu wa kweli kimeandika jinsi Samson alivyokuwa anaingia Gazza na kuwagonga mademu wa kipalestina na baada ya kuwagonga anawatembezea hao vijana wa kiarabu mkong'oto wa nguvu kwasababu walikuwa wanamaindi sana Samson kugonga mademu zao.

Siku moja walimvizia Samson alivokua anamgonga de0mu wakipalestina. Samson alishajua wanamlia taiming nje. Akawapotezea na kuendelea kupiga miti. Alipomaliza alitoka nje nakugawa dozi za uhakika.

Kuwaonyesha yeye ni myahudi mteule akang'oa geti la kuingia Gazza ambalo lilikuwa kubwa sana na zito na kulibeba Mlimani kilomita kadhaa. Miarabu ya Gazza ilibakaki kinywa wazi.

Siyo story ya kutunga iko kwenye Bible. Na wakati huo waarabu wote walikuwa magovi Samson alikuwa anawamaindi kweli alitembeza mbano anawaambia nyie magovi mnakera sana na anazidisha kichapo. Ipo kwenye Biblia sijatunga
 
Hii vita ni ya karne na karne. Kwenye Biblia kitabu pekee kitakatifu cha Mungu wa kweli kimeandika jinsi Samson alivyokuwa anaingia Gazza na kuwagonga mademu wa kipalestina na baada ya kuwagonga anawatembezea hao vijana wa kiarabu mkong'oto wa nguvu kwasababu walikuwa wanamaindi sana Samson kugonga mademu zao.

Siku moja walimvizia Samson alivokua anamgonga de0mu wakipalestina. Samson alishajua wanamlia taiming nje. Akawapotezea na kuendelea kupiga miti. Alipomaliza alitoka nje nakugawa dozi za uhakika.

Kuwaonyesha yeye ni myahudi mteule akang'oa geti la kuingia Gazza ambalo lilikuwa kubwa sana na zito na kulibeba Mlimani kilomita kadhaa. Miarabu ya Gazza ilibakaki kinywa wazi.

Siyo story ya kutunga iko kwenye Bible. Na wakati huo waarabu wote walikuwa magovi Samson alikuwa anawamaindi kweli alitembeza mbano anawaambia nyie magovi mnakera sana na anazidisha kichapo. Ipo kwenye Biblia sijatunga
Acha ujinga we, hivi kilikuwa na ukanda wa ghaza,kulikuwa palestina? Sizan Kama Samson alikuwa na tabia mbovu Kia's hcho, hvo wafilist ni waarabu? Then prove,acha udini, hivi Kama ni kweli Basi tukubaliane kuwa mungu anawapendelea wa Israel na yupo tayar kuona wengine wanateseka kuipata furaha yao, acha ujinga mkuu af unaonesha huijui dini Ila unatafuta maandiko yanayoleta ugumu kutafsir unavotaka then ukapgia debe, Basi Israel wanamungu wa peke yao, umekaririshwa kuwa Israel ni taifa teule ok Basi lazma na ww uwe mu Israel na Kama ni vinginevyo si Bora upotee tu.
 
Israel yenyew haikuwa taifa lasmi mpaka baada ya Vita ya pili ya dunia,hiv Jerusalem ilikuwa kabra ya ibrahimu au baadae?🤕
Acha ujinga we......hivi kilikuwa na ukanda wa ghaza,kulikuwa palestina???,sizan Kama Samson alikuwa na tabia mbovu Kia's hcho, hvo wafilist ni waarabu ?,then prove,acha udini, hivi Kama ni kweli Basi tukubaliane kuwa mungu anawapendelea wa Israel na yupo tayar kuona wengine wanateseka kuipata furaha yao, acha ujinga mkuu af unaonesha huijui dini Ila unatafuta maandiko yanayoleta ugumu kutafsir unavotaka then ukapgia debe,Basi Israel wanamungu wa peke yao....umekaririshwa kuwa Israel ni taifa teule ok Basi lazma na ww uwe mu Israel na Kama ni vinginevyo si Bora upotee tu
 
Acha ujinga we. Hivi kilikuwa na ukanda wa ghaza,kulikuwa palestina? Sizan Kama Samson alikuwa na tabia mbovu Kia's hcho, hvo wafilist ni waarabu ?,then prove,acha udini, hivi Kama ni kweli Basi tukubaliane kuwa mungu anawapendelea wa Israel na yupo tayar kuona wengine wanateseka kuipata furaha yao, acha ujinga mkuu af unaonesha huijui dini Ila unatafuta maandiko yanayoleta ugumu kutafsir unavotaka then ukapgia debe, Basi Israel wanamungu wa peke yao....umekaririshwa kuwa Israel ni taifa teule ok Basi lazma na ww uwe mu Israel na Kama ni vinginevyo si Bora upotee tu
Israel the land Jews the people.

God bless and protect Israel.

Niko tayari kufa kwa ajili ya Israel.

JESUS and Israel Forever.

Huniiambii kitu kuhusu Yesu na taifa teule la Israel.

STRUGGLE MAN Bwana Utam
 
Acha ujinga we......hivi kilikuwa na ukanda wa ghaza,kulikuwa palestina???,sizan Kama Samson alikuwa na tabia mbovu Kia's hcho, hvo wafilist ni waarabu ?,then prove,acha udini, hivi Kama ni kweli Basi tukubaliane kuwa mungu anawapendelea wa Israel na yupo tayar kuona wengine wanateseka kuipata furaha yao, acha ujinga mkuu af unaonesha huijui dini Ila unatafuta maandiko yanayoleta ugumu kutafsir unavotaka then ukapgia debe,Basi Israel wanamungu wa peke yao....umekaririshwa kuwa Israel ni taifa teule ok Basi lazma na ww uwe mu Israel na Kama ni vinginevyo si Bora upotee tu
Soma biblia takatifu wewe tena imeandika Gazza. Samson alikuwa anaingia Gaza anagonga mademu na kutembeza kichapo kwa majamaa wa hao mademu
 
Back
Top Bottom