Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 950
- 1,050
- Thread starter
-
- #21
Wewe haujajua maana ya ndoa, wala maana ya divorce. Hebu zungumza na wazee wa kwenu wakunyooshe. Hivi unaweza kumtaliki mke kwa sababu ananuna?
ni vizuri kusikia kwenye mitandao au kusoma kwenye runing usiombe yakukute
sidhani kama umesoma ukaelewa hiyo post
ila thread zako zina utatanishi sana mara Jenifer Kyaka,mara mke wako mara hili mara lile sijui unacheza na medula zetu..... watu8 prof. wa kuweka link na mtaalamu wa IT kuja hapa tuchambue minofu na mifupa.
so hata sura ya mama na dada yako hutaki kuiona?usijidanganye ndugu ni swala la muda tu mbona utawatongoza mwenyewe.
siishi nao
kama muislam kanunue tu pen na karatasi na mashahidi wanne.
Unaandika hivi
MIMI MAJARIBU2013 BIN MAJANGA NAKUACHA WEWE............. BINT ............... KUANZIA LEO SIYO MKE WANGU HALALI WA NDOA.
ILE NYUMBA TULIYOJENGA NAKUACHIA،MAGARI YOTE NAKUACHIA,BIASHARA ZOTE NAKUACHIA NA KWA VILE MTOTO WETU NI MDOGO PIA NAKUACHIA.NACHOKUOMBA NIONDOKE NA KITANDA NA GODORO KUANZIA MAISHA.
Unaweka sign yako chini
mashahidi zako 3 wanaweka sign unamkabidhi
Refer: https://www.jamiiforums.com/mahusia...namke-tena-hata-akiwa-mzuri-kiasi-gani-6.html
Usiku wa kuamkia leo hatimaye nimebaki single, ila maumivu makali sana sijaenda kazini wala kutoka popote usiku wa leo, sihitaji kuona sura yoyote ya mwanamke naweza kumfanya kitu kibaya.
Tumebakisha kupeana talaka. Nahitaji mwongozo wa kuandika talaka nimpatie kesho kutwa jumapili.
Mama, dada zako je?au wao sio wanawake?

Threads zako zina utata...unachanganya watu akili weye!
ugomvi wa siku moja tu unakimbilia talaka? kwamba wewe you are very perfect ktk ndoa yenu? si ajabu wifey yako kagundua una malaya pembeni kakuuliza umekuja juu hutaki kukiri yaishe unaona bora talaka.