Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 950
- 1,050
Refer: https://www.jamiiforums.com/mahusia...namke-tena-hata-akiwa-mzuri-kiasi-gani-6.html
Usiku wa kuamkia leo hatimaye nimebaki single, ila maumivu makali sana sijaenda kazini wala kutoka popote usiku wa leo, sihitaji kuona sura yoyote ya mwanamke naweza kumfanya kitu kibaya.
Tumebakisha kupeana talaka. Nahitaji mwongozo wa kuandika talaka nimpatie kesho kutwa jumapili.
Mama, dada zako je?au wao sio wanawake?
Hebu jaribu kuyahusisha matatizo yenu kwa wazee, msikae tu mnaonekana mko sawa kumbe sivyo.. katika hali kama hiyo sasa busara za wazee wa pande zote mbili zinahitajika. kama walivyopokea keki ya ndoa, basi wapiganie kuidumisha ndoa yenu, hakuna talaka hapa, hapa kuna kuoa tu ndugu yangu.. kila la kheri..Period!Refer: https://www.jamiiforums.com/mahusia...namke-tena-hata-akiwa-mzuri-kiasi-gani-6.html
Usiku wa kuamkia leo hatimaye nimebaki single, ila maumivu makali sana sijaenda kazini wala kutoka popote usiku wa leo, sihitaji kuona sura yoyote ya mwanamke naweza kumfanya kitu kibaya.
Tumebakisha kupeana talaka. Nahitaji mwongozo wa kuandika talaka nimpatie kesho kutwa jumapili.
Pole sn lakini Mbona umechukuwa uamuzi wa Mzito kuto ona Sura ya mwanamke yoyote,vipi kuhusu Barabarani ukikutana na Mwanamke.
Omba Mungu.....atabadilisha ndoa yenu.
Hasira hasara....................
ila thread zako zina utatanishi sana mara Jenifer Kyaka,mara mke wako mara hili mara lile sijui unacheza na medula zetu..... watu8 prof. wa kuweka link na mtaalamu wa IT kuja hapa tuchambue minofu na mifupa.
we sema imekuaje tuone tunawezaje kusuluisha au ushauri. epuka stress mwishon utajinyonga. tuambie imekuaje tukushauri apa jf atufundishi kuandika talaka bali ushauri.
sidhani kama uko sahihi balotelini kwa sababu ya hiyo sababu uliyotaja kwenye uzi wako au kuna nyingine? kama ni hiyo huna lolote sema tu ulikuwa umeishamchoka mkeo!
sasa utakumbana na galasha zaidi!!!