Majani Mengine Balaa Tupu

Jamaa amepungua kwa kukosa usingizi aiseeee
 
nilijua mchicha kumbe majani yao yale
 
...akimaliza hizo kilo wanamzika aseee..lohh..!
 
Msomali na mirungi ni kama masai na sime
 
Mkuu Safari, ina maana KUSAGA HILI GOMBA ndiyo kumemfanya huyu HABRE kuwa mkondefu hivi??? Maana ikumbukwe hawa jamaa wapo wenye asili ya kuwa NYEMBAMBA SAAANA ......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…