Hahahaaa. Kwema kabisa Mtani.Naaam Mtani kwema hapa?
Na Me wapenzi wa chura wanakwambia kazi ya chura ni kuibonyezabonyeza, kuipiga vikofi na kuilalia kama mtoKabisaaaaa. Kila mwenye ngoma yake na acheze.
Na ndio sababu hata kwa huyu dada , hapo wapo Me wengine wanatamani ndio angekuwa Mke amuweke ndani yaani kila time ashike hilo hipusi na jichu ra. π π π π
Aisee sasa hizo ni neema au balaa. πHahahaaa. Kwema kabisa Mtani.
Nimekuita uone zile mnazoziita neema sijui. πππ
Kuumbeeee. π³Na Me wapenzi wa chura wanakwambia kazi ya chura ni kuibonyezabonyeza, kuipiga vikofi na kuilalia kama mto
Hawa utawasalimia hawa. ππππWapinzani wa chura wanasema huo ni mzigo kama mizigo mingine yenye kuchosha tu wala haina faida yoyote
Hahahaaaa. Kama nakuona vile.Basi nikisikia ubishi huo mi hua natabasamu tu na kikombe changu cha kahawa
Bora Mtani sababu kila mmoja na apendacho.Aisee sasa hizo ni neema au balaa. π
Mimi napenda vitu simpo Mtani, yani vitu vya wastani siku nikiwapelekea wazazi waseme yees mwanangu umechagua.
Ila samahani Shadeeya isije ikawa nakandia kumbe ni wewe hapo kwenye picha ππ
Ndukiiiii
Salamu kwa wapinga chura zitafika bilashakaKuumbeeee. π³
Hawa utawasalimia hawa. ππππ
Hahahaaaa. Kama nakuona vile.
Hahahaaaa. Haya kila la kheri.Salamu kwa wapinga chura zitafika bilashaka
Ndio nataka nielekee kwenye baraza la kahawa, wewe usije kwanza Shadeeya Ke hawatakiwi hapo
Nitakuja kukusimlia yatokanayo ila mimi sintachangia chochote. Lakini si unajua upande ninao usapoti eeh?
Swadkta wahindi wanasema barabara cheeeππππHahahaaaa. Haya kila la kheri.
Naujua, naujua mie tena naujua. ππππ
ππππMatako Bar
Kweli aisee bora ubaki na mwili wako wa kawaida tu pengine siku tunaweza kukutana ukaniteka moyo Shadeeya πBora Mtani sababu kila mmoja na apendacho.
Duuh! Mtani mi nina mwili wa kawaida tu. Na kama huko siwezi fika abadan asilan.
Uuwiiiii. Nimeshawahiwa Mtani. ππππKweli aisee bora ubaki na mwili wako wa kawaida tu pengine siku tunaweza kukutana ukaniteka moyo Shadeeya π
Ndio hivyo wapo ambao huwaambii kitu mbele ya hao wenye mizigo. πππIla kwa kweli mimi bado sijaona uzuri wala urembo wa mwanamke dizaini ya kwenye picha hapo juu, ni hivyo tu wanaume tunatofautiana aina ya wanawake tunaowapenda.
Kweli halafu sasa hao wenye mizigo wanapata tabu sana wakitembea mtaani.Uuwiiiii. Nimeshawahiwa Mtani. ππππ
Ndio hivyo wapo ambao huwaambii kitu mbele ya hao wenye mizigo. πππ
Hahahaaaaa. Itakuwa alijua unazimikia huo mzigo ndo maana.Kweli halafu sasa hao wenye mizigo wanapata tabu sana wakitembea mtaani.
Nakumbuka kuna mmoja alipita mbele ya nyumba ninapokaa, nikashangaa anatembea huku anaangalia msambwanda wake, sasa nikajiuliza ina maana njia nzima alikuwa akijiangalia au alijiangalia baada ya kuniona mimi maana nilisimama nje kuna mtu nilikuwa nikimsubiri, aaahhh basi bwana tabu tupu.
Kwako Shadeeya
Hahaha...huyu anatawaza kweli