Daah! Wanaume huwa mnayajua wenyewe maradhi yenu. π π πMwenyewe yupo very proud na umbo lake na pia kuna Men wengine ndio maradhi yao hayo
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Huyu kufika kwa Malkia wa Sokotra zinapokutana latitude na longitude 0 kazi sana.
Vp we pia hayo maradhi unayo au ndio ulishapona?. πMwenyewe yupo very proud na umbo lake na pia kuna Men wengine ndio maradhi yao hayo
Najua pia hupendi madikodiko kama chips, kuku, sijui burger au vyakula vya mafuta, na kwenye vinywaji wewe yako juice tu soda huna mzuka nazo na pombe ndio hata harufu yake inakukeraπππKwa huyo Ses hata hana wepesi na ndio maana usimamaji wake umekuwa wa tabu.
Na kweli usemalo Ses japo mi wajua tena nilivyo mkavu hivyo nikinenepa sitafika huko hivyo bado ntajiweza tu. π π
Daktari wamuuliza mgonjwa tena wakati wamjua nje ndaniπππVp we pia hayo maradhi unayo au ndio ulishapona?. π
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Umeona eee.Najua pia hupendi madikodiko kama chips, kuku, sijui burger au vyakula vya mafuta, na kwenye vinywaji wewe yako juice tu soda huna mzuka nazo na pombe ndio hata harufu yake inakukeraπππ
Yah! Hao ndio kazi wanayo mana wakifumuka huwa wanafumuka hasa na saa nyingine inakuwa kuanzia juu mpaka chini hivyo hilo ji hipusi na jichu ra hata halijulikani liko wapo. π πLakini si unajua Shadeeya wengine wana miili ya kurithi?
π π π π hapa umejua kuniweza Ses. Lol.Daktari wamuuliza mgonjwa tena wakati wamjua nje ndaniπππ
ππππππ π π π hapa umejua kuniweza Ses. Lol.
Wala usijali Ses. ππππππππ
Nakuusia uendelee na mazoezi japo mara moja kwa wiki eeh
Ni khatwar kabisa, tumbo limeshikana na jichura, lakini wakifanya mazoezi miili yao inajishepu vizuri tu hata kama wamerithi uneneUmeona eee.
Yah! Hao ndio kazi wanayo mana wakifumuka huwa wanafumuka hasa na saa nyingine inakuwa kuanzia juu mpaka chini hivyo hilo ji hipusi na jichu ra hata halijulikani liko wapo. π π
Kumbe eeee. Sema ndio mtu awe na moyo wa kufanya hayo mazoezi.Ni khatwar kabisa, tumbo limeshikana na jichura, lakini wakifanya mazoezi miili yao inajishepu vizuri tu hata kama wamerithi unene
Hapo ndio kwenye changamoto....watu ni wazito sana kufanya mazoezi, wengine mpaka yawakute maradhi washauriwe na daktari ndio wanaanza kujikongojaKumbe eeee. Sema ndio mtu awe na moyo wa kufanya hayo mazoezi.
Kweli kabisa usemalo Ses.Hapo ndio kwenye changamoto....watu ni wazito sana kufanya mazoezi, wengine mpaka yawakute maradhi washauriwe na daktari ndio wanaanza kujikongoja
Nashangaa watu wengine wanaenda kununua chura za mchina wakati wenzao wanataka kufanyiwa hadi operation kuondoa nyamaKweli kabisa usemalo Ses.
Ndio hivyo maisha hutofautiana Ses.Nashangaa watu wengine wanaenda kununua chura za mchina wakati wenzao wanataka kufanyiwa hadi operation kuondoa nyama
Kila mtu anachaguo lake eeh? Kinachokukera na kukuumiza wewe kumbe ndio fahari na furaha ya wengineNdio hivyo maisha hutofautiana Ses.
Kabisaaaaa. Kila mwenye ngoma yake na acheze.Kila mtu anachaguo lake eeh? Kinachokukera na kukuumiza wewe kumbe ndio fahari na furaha ya wengine
Kweli dunia uwanja wa fujo Shadeeya
Naaam Mtani kwema hapa?Mtani Sapta Sapta unaitwa huku. ππ