Majangaa ya chura kuto kuruka juu

Alooo! kwa hali io ni FUJO co chura
Kwa %kubwa wanaume tuna wapenda chura wa kihans co hao wa nje.@Zero IQ
 
Ulemavu huo...

Huyu bafuni atakua anatumia muda mrefu sana kwenye kuoga...

Cc: mahondaw
 
Daah! Saa nyingine maumbo makubwa hata si mazuri ,kwani kama huyo kuna mambo mengi yanamshinda sababu ya hivyo alivyo.
Wapo baadhi wanakua vibonge wepesi lakini Shadeeya

Usiache mazoezi maana vingeinevyo ubonge utakavyokujia wala hutajua utashtukia tu kuinama inakua mtihani,ukiwa umekaa kusimama mpaka upate sapoti, ukitembea kidogo u akua hoiπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Ukisikia mzigo wa kuvunja chaga ndo huo.
Usioge huo ni ukubwa wa scania lakini wanapanda watu watatu.
 
Wapo baadhi wanakua vibonge wepesi lakini Shadeeya
Kwa huyo Ses hata hana wepesi na ndio maana usimamaji wake umekuwa wa tabu.

Usiache mazoezi maana vingeinevyo ubonge utakavyokujia wala hutajua utashtukia tu kuinama inakua mtihani,ukiwa umekaa kusimama mpaka upate sapoti, ukitembea kidogo u akua hoiπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Na kweli usemalo Ses japo mi wajua tena nilivyo mkavu hivyo hata nikinenepa sitafika huko hivyo bado ntajiweza tu. πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…