Unaishi room 1(single)na mke wako,siku moja alipokwenda kuoga kabla ajatoka ukapta mgeni wa kiume akaingia ndan.
mkiwa mnapiga story ghafla mkeo anaingia na kanga 1.je utafanyaje mkeo abadilishe nguo,utamtoaje mgen huyo?
si mm ni jirani yangu hapa napoishi
unatoka wewe unamwacha mkeo na mgeni avae
au unatoka wewe na mkeo akavalie nje
si mm ni jirani yangu hapa napoishi
cjawahi
unamchana mshikaji mwanae tutoke shem wako avae...ywendezetu outsideUnaishi room 1(single)na mke wako,siku moja alipokwenda kuoga kabla ajatoka ukapta mgeni wa kiume akaingia ndan.
mkiwa mnapiga story ghafla mkeo anaingia na kanga 1.je utafanyaje mkeo abadilishe nguo,utamtoaje mgen huyo?