..wanasheria wetu siyo wanaokwenda kutetea kesi kama hii ya Konoike vs Wizara ya Ujenzi.
..wapo mawakili maalum waliosajiliwa kufanya kazi, kutetea kesi, ktk mahakama ya kimataifa ya migogoro ya kibiashara ambako ndiko Konoike walipotushtaki.
..kwa hiyo tunapokuwa tumeshtakiwa nje ya nchi, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Tz hulazimika kukodisha mawakili wa kututetea huko nje.
..kama Konoike wangefungua kesi ya madai ktk mahakama za Tz basi mawakili wa pande zote wangekuwa wanatoka hapahapa nchini.
..Haiwezekani mwanasheria wa hapa Tz ahusike ktk kuwashawishi Konoike kuhusu hatua za kuchukua, mfano kukamata bombadier. Hatua zozote zile ambazo Konoike watachukua ili kupata stahiki yao zitatokana na ushauri wa mawakili walioko nje ya Tz ambao waliwatetea ktk kesi hiyo.
NB:
..Unaposikia Wakili msomi kwa hapa Tz maana yake ni kwamba amesajiliwa kutetea kesi ktk mahakama kuu ya Tanzania. Wakili huyo hawezi kutetea kesi ktk mahakama za Zambia, Zimbabwe, Marekani, ...ni wakili wa hapa Tz tu.
CC Naytsory
Mkuu nashukuru kwa ufafanuzi, ikiwa tumekiuka mikataba tuliyosaini wenyewe, hsta wakili angetokea wapi uwezekano wa kushindwa ni mkubwa. Jambo la msingi tukishasaini mkataba tuuheshimu na kama mkataba hauna maslahi kwa taifa letu ni vema kujitoa mapema ili tusiliingize taifa kwenye matatizo.