Bedullah
JF-Expert Member
- Dec 9, 2012
- 206
- 79
Kwa staili ya utawala huu ya maamuzi ya pupa na papo kwa papo tutegemee mengi zaidi ya haya! Halafu kuna Tanzania ya viwanda hapo?Ajsee hii nayo kama ni kweli basi inabid tujipange, ili yasitokee mambo haya, yanatuumiza sana! Kufuata taratibu za kisheria na kimkataba ni busara sana.