majambozi..online???

hayo mambo yapo,ila mjuane na mzoeane,on line on the phone,skpe,hata chatting kwenye simu{sexy chat},na kileleni unafika kwani ni kuvuta feelings,hizo ni njia za long distance relationship.
 
hivi naomba kwa mnaotumia skype mniambie kwa mfano mtu anaweza kukurecord au akachukua pictures?

Ni picha anachukua anaenda kuiweka kwenye mtandao usirogwe mpenzi, and yah kwa mume unaweza fanya sababu unajua na unamuamini hawezi fanya kitu kama hicho
 
kwa mume unaweza fanya sababu unajua na unamuamini hawezi fanya kitu kama hicho

hata kwa mume ni hatari jamani.
Siku mkitibuana anapata pa kukukomolea.
 
achia matiti ila sura isionekane,wengine wanaonyeshana hadi nyeti zao.

leo matiti, kesho ataombwa sura baada ya hapo zinaunganishwa tutashangaa tunaona picha za pauline kwenye jukwaa lileee.
 
Msaidie mwenzako amekupenda! Labda ukimwonyesha mavituz atadata na atachukua the next flight ili aje kufanya kweli. Kuna demu wangu mzungu alikuwa akisalula na kunionyesha vimbwanga vyote on skype. Kwa hiyo kaza roho msaidie jamaa
 
Pole sana Pauline kwa yalokusibu
Kwa kutumia skype mtu anaweza kuchukua screen shots na hata video clips.
Hivo ni vema ukawa makini sana na mambo haya ya .com.

Nilikuwa na rafiki amabaye alikuwa mbali nami ila tulifahamiana sana tu kabla hajaenda huko aliko. Tukawa tunawasiliana online skype na kitabu cha uso na yahoo messenger. Kumbe naye anapenda mambo ya kuoneshana maumbile kwa webcam. Alikuwa akiniomba kila nikichati naye nivue nguo nikawa namsihi kuwa sitaki na asirudie tena kunambia kitu kama hicho. Akaendelea basi nikaamua kublock kwenye .com zote sasa nina amani.
 
yaano mi namtafuta kila nisipomwona huyu pauline,, sijisikii amani kabisa kumbe yuko fesibuku na sijui skype hata sijui ndo vitu gani.....:embarrassed::embarrassed::redfaces:

pauline hebu tutete kidogo....eeh😛ray2:😛ray2::coffee:
 
Habari za asubuhi Mwenyekiti lol!!!!!!
 
Habari za asubuhi Mwenyekiti lol!!!!!!

Mwenyekiti ameamka anakuta wanachama wanataka kukaguana matiti kwenye sijui vitu gani....hii kazi Asprin alistaafu lini? hebu lete faili lake...
 
Pauline,

Hayo mambo wanaweza kuyafanya watu wanaofahamiana vizuri. Mapenzi kwenye simu na mitandao kwa wapenzi siku hizi ni kitu cha kawada (na hapa naongelea ma-uzoefu). Ila kama ni kufanya na wageni basi labda iwe ni kibiashara zaidi. Kama mnapendana basi jitahidi muonane ili baada ya hapo kuwa na uhalisia zaidi! Vinginevyo usishangae kujikuta kwenye mbao za matangazo na majarida kibao!
 
hapo umenena kabisa mkuu

Ila mi nina wasi wasi na pauline, hapa kaileta hii kutest mind za watu hapa sidhani kama kuna ukweli katika backround yake alotupa/.

halafu ako kwen mgomo....tatizo namfeel kinamna sema hakamatiki:coffee:
 
Aisee Pauline una hatari.........

Na hapo kwenye skriin utamkatiaje mauno sasa?

Oups sorry, kumbe uko kwenye mgomo!
 
Mwenyekiti ameamka anakuta wanachama wanataka kukaguana matiti kwenye sijui vitu gani....hii kazi Asprin alistaafu lini? hebu lete faili lake...

Mwenyekiti niko hapa:

Hakikisha mwenyewe.........

The Following User Says Thank You to MWENYEKITI Kaizer For This Useful Post:

Asprin (Today)
 
Aisee Pauline una hatari.........

Na hapo kwenye skriin utamkatiaje mauno sasa?

Oups sorry, kumbe uko kwenye mgomo!

Mwenyekiti niko hapa:

Hakikisha mwenyewe.........

The Following User Says Thank You to MWENYEKITI Kaizer For This Useful Post:

Asprin (Today)

umeuliza swali la msingi sana

sasa hommie kazi yako umedelegate?
 
Pole my dear wala usifanye hivyo ,Kama anakupenda kweli ataheshimu maamuzi yako,lakini kama anakutaka kimapenzi tu
Huyo hakufai mie sikushauri kuanza kumuonyesha manyonyo yako kwa style hiyo kwani mmeo huyo? acha akununie :sick:
 
Mmmmnnnhhh!!
Kazi kwelikweli
 
umeuliza swali la msingi sana

sasa hommie kazi yako umedelegate?

Hapana mwenyekiti... Ni vibabu uchwara vinachakachua. Hiyo kazi ni yangu peke yangu.

Unaonaje nawe ukaanza kukagua viuno vya wagomaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…