Na huko Mwanza pia kuna majambazi yamevamia kituo kikuu cha Polisi na kuiba nyaraka. Yaani hii nchi hata vituo vya Polisi vinavamiwa na kuibiwa mali kama magheto ya vijana. IGP Mwema, je upo? Watu walitaka mabailiko ndani ya Polisi mnasema ni "Wapinzani", je hizi aibu anabebaba nani?