Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
Wamevamia bar moja maeneo ya Mathias
si huko yaani hata vitimoto sikuhizi tunakutana na mbavu kona ya makalio acha tu ni shidaaaawashamaliza mfungo yaani shidaaaaaaa
Baada ya juma lililopita kuvamia na kupora kwenye maduka ya Mailimoja,leo majambazi wamevamia na kupora maduka ya kwa Mathias. Taarifa zinasema kuwa majambazi yamevamia kwenye maduka yaliyo karibu na barabara ya zamani na kupora fedha na mali nyinginezo. Hakuna aliyeuawa.
Ujambazi Pwani unashika kasi
Polisi wana kazi mwaka huu.
Chadema,majambazi,ajali nk