majambazi yafatua risasi hewan jion hii..

majambazi yafatua risasi hewan jion hii..

laboratory

Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
51
Reaction score
3
Kimamba ..kilosa jamaa wamevamia duka la mfanyabiashara wa m pesa na kupiga risasi kama kumi hewan na kutokomea...
 
sasa wamechukua pesa .za kibubu.....
 
Back
Top Bottom