Majambazi 6 wauwawa biharamuro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majambazi 6 wauwawa biharamuro

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Yona F. Maro, Nov 26, 2009.

 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  Nov 26, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Habari zilizotufikia sasa hivi zinasema kuna majambazi 6 wameuwawa katika mapambano na askari huko buharamuro , majambazi hao walikutwa na silaha kadhaa za kivita inasemekana walikuwa wanajiandaa kuvamia mgodi mmoja wa madini katika eneo hilo .

  Bado haijajulikana kama majambazi hao ni wan chi jirani au ni raia wa Tanzania , mpambano huo ulichukuwa dakika chini ya 40 kwa sababu askari hao walikataa amri ya kuwataka kujisalimisha kwa askari
  Tutawafahamisha zaidi jinsi tutakavyokuwa tunapata habari zaidi

  http://groups.google.com/group/wanabidii/t/2c9d8cd361d55f57?hl=sw
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kama ni habari ya kweli well done Polisi. Hawa sasa hivi ni kuwaua tu
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  hivi kwa nini wanashindwa kuwakamata? Maana kwa kuwkamata wakiwa hai itawasaidia polisi kupata information kutoka kwao na kuendeleza zaidi mapambano dhidi yao
   
 4. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2009
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,499
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Na wakishawakamata wakiwa hai, kwa sheria za nchi yetu watapewa dhamana, na wakishakuwa nje watawahonga polisi na mahakimu na baadae wanarudi kuishi nasi kuendeleza ujambazi wao!
   
 5. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Sheria za Tanzania zinakataza kabisa watu hata polisi kujichukulia sheria mkononi.

  hakika polisi hawakupaswa kuwauwa walitakiwa wawakamate wakiwa wazima au hata majeruhi lakini sio kuuwa. Kwani hao walikuwa WATUHUMIA WA UJAMBAZI na wala SIO MAJAMBAZI.

  Aliyekuwa na uwezo wa kusema hao ni majambazi ni uamuzi wa mahakama.

  Polisi wanavunja sheria.
  najiuliza hivi kwanini hata watu binafsi wakimkamata kibaka na kumuuwa polisi hao hao wanafanya uchunguzi na wakigundulika walioshiriki wanawafikishwa mahakamani kwa kosa la mauaji.

  Au hata mwizi akija kuvamia nyumba yako na wewe ukamkamata na kumpiga hadi kumuuwa, unashitakiwa kwa kosa la mauaji. Kwanini polisi wasishitakiwe

  lazima sheria iangaliwe ili wote wawe na haki sawa mbele ya sheria.
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280

  ni vyema wamewaua kabisaa je kama wangewahiwa wao hapo ungesema nini???
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Bihalamuro na si Biharamuro! Kazi nzuri polisi, lakini na wale wezi wakubwa kama akina Jitu Patel na RA fanyeni hivyo hivyo
   
 8. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #8
  Nov 27, 2009
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Majambazi!!! mtumeeeee!! wameanza tena, kulikuwa shwari kidogo hapa kati, well done polisi, hawa jamaa nikuwawahi tu wakikuwahi huna bahati.
   
 9. A

  AmaniGK JF-Expert Member

  #9
  Nov 27, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,101
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Wote mmekosa ni Biharamulo
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Nov 27, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Biharamulo !
   
 11. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #11
  Nov 27, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  wawe majambazi kweli basi#
   
 12. Mopao Josee

  Mopao Josee JF-Expert Member

  #12
  Nov 27, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Well done @@@@@@
   
 13. Azikiwe

  Azikiwe Senior Member

  #13
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 191
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mmeshasahau yakina Chigumbi na Zombe eeeh?
   
 14. M

  Magezi JF-Expert Member

  #14
  Nov 27, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  huwa najiuliza kwa nini hawa akina RA, chenge, rashidi, patel, n.k. nao wasiuliwe na ikajulikana walikuwa wakikaidi kukamatwa?
   
 15. M

  Magezi JF-Expert Member

  #15
  Nov 27, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  kwa mujibu wa gazeti la mwananchi ni waliouawa ni 4 na wawili walifanikiwa kutoroka. Katika waliouawa yupo mmoja raia wa burundi na walikutwa na bunduki 4 aina ya SMG, risasi 607 ktk magazini 11 na magruneti 2.
   
 16. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #16
  Nov 30, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Jamani polisi hawatakiwi kuuwa kwani wao hawako juu ya sheria, ni ajabu nchi hii kila siku polisi wanauwa wakiwa wanapambana na majambazi halafu baada ya hapo jalada linafungwa. Je DPP anajua kuwa kunahitajika katika mazingira hayo kaunzisha iquestchini ya inquest Acts??????

  Kwa jinsi mitanzania tulivyo unaweza kukuta inquest ya mwisho ilifanyika mwa 1980 au 1982 na toka hapo hakuna inquest iliyofanyika pamoja na vifo vyote hivyo vya wazi ambavyo havichunguzwi. Unaweza kukuta kuwa pamoja na sheria kuwepo, practically hakuna coroners wa kufanya inguest hizo sababu kubwa ni kuwa hawajateuliwa. Mara ya mwisho nimeona ofisi ya coroner mwaka 1985 toka hapo sijaona tena ofisi kama hiyo mwenye kuweza kupata ofisi ya coroner hapa tanzania anitonye.

  Kutokana na upungufu hup ndio maana polisi ni trigger happy, wanajua wakiuwa hawataulizwa, Haki za binadamu mko wapi jamani.....au mnangoja wazungu waseme.
   
 17. b

  ba mdogo Member

  #17
  Dec 2, 2009
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nashawishika kuamini kuwa ipo haja ya serikali kupitia upya kile kinachofahamika kama hifadhi za taifa. majammbazi haya yamekuwa yakitumia mwanya huo huo wa serikali kuzuia baadhi ya misitu ambayo ukiiangalia kwa makini siyo productive. kwanini wasiruhusu baadhi ya maeneo watu wakaanza kuyatumia kwa kilimo? hii ni kwa sababu baadhi ya "hifadhi" kwa barabarani zinaonekana ni misitu , lakini kwa ndani ni uwazi mtupu. hawa ma bwana misitu wakifanya force field analysis wataweza kiusaidia nchi kuelewa msitu upi uachwe na upi utolewe kwa matumizi ya wnanchi badala ya kuwa achia polisi kupambana na majambazi hao ambao ni wa msimu. otherwise tumekwisha.
   
Loading...