Kitokombe
Member
- Dec 22, 2016
- 69
- 22
Hiyo ndiyo tz tunayoitaka.ila jeshi liwe makini wasiuwawe watu kwa visasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda muhimbili kama unahitaji kuiona miili... Watu wa ajabu sana.. Iwapo polisi waneiweka miili hadharan mngesema haki za marehemu zimekiukwa...Naona maruweruwe tu, sijui kwanini, lakini sitaki kucomment kuhusu kuwapongeza Jeshi la polisi au vipi maana:
1.Walishindwa nini kumkamata mmojawapo akasaidia Jeshi kufahamu nani yupo nyuma yao??
2.Hakuna hata miili inaonyeshwa au any vivid evidence ?
3.Polisi wetu ni makini na wana mafunzo kiasi majambazi 13 wa kiwango cha Kibiti wanaweza kufyatua kupambana na asipate hata jeraha yeyote?
4.Jeshi la polisi halijashtuka namna silaha zote hizo za kivita zinatumika na hao majambazi?? Kwanini wasifunguliwe mashtaka hata mmojawapo ikibidi angekamatwa?
Yaani Bongoland full maruweruwe,but my instincts tells me something is going on,too much faking
Sent From Kisana Kiki Iphone
duuh kweli wabongo shida sa ulitaka wafanyajweHell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....
Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......
Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.
Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
IGP ndani ya uwanja wa mapambano.
Hongera sana Siro, yumkini wewe ni polisi wa wito.
Sijawahi kuona mkuu yeyote wa jeshi lolote kushiriki vita 'field', bali hupiganisha vita maofisini wakiplani na si kwa kwenda kujichanganya mstari wa mbele kujenga ari na morali wa wafuasi wao wa chini kama alivyofanya kamanda Siro.
Hapo tungesikia "nimetuma vijana wangu"
Huwa hakuna uwezekano wa wao kujeruhiwa, kuyekwa ama kuuawa, wakifia kazi yao ya kiapo.
Wao huishi salama maisha yao yote hadi wanapokufa uzeeni.
Picha hii ya mkuu wa jeshi kuonekana uwanja wa mapambano ni mapinduzi makubwa ndani ya jeshi la polisi na ni mfano wa kuigwa kwenye majeshi mengine pia.
Kwenye vyuo vyao vya uongozi na ukamanda hufundishwa na kuelekezwa kuwa, kwenye kazi hatarishi, hasa ihusuyo utapia roho, kamanda hustahili kazi hiyo kuisimamia yeye mwenyewe na si kukasimisha kwa kiongozi mwingine yeyote wa chini yake, hadi kuhakikisha kazi hiyo imemalizika.
Kwa hakika kamanda Siro umeonesha njia sahihi ya utendaji uliotukuka wa kamanda.
Kuna watu walikamatwa wapo wengi tu ndio wanawataja.....hao!!! Kwa sasa wana ushahidi na wanajua kila kitu juuu yao!! Ni suala la timing tu kwa sasa!! Ushahidi umeshkamilika mud mrefu sana! Wana watu wa kutosha sana kuwapa ushahidi!!
Munataka maiti muzione harafu ili iweje? ?muzichemshie supu? ?Nenda muhimbili kama unahitaji kuiona miili... Watu wa ajabu sana.. Iwapo polisi waneiweka miili hadharan mngesema haki za marehemu zimekiukwa...
Utawakamataje watu ambao wanakurushia risasi kitaalam?Je, kulikuwa kuna ulazima wa kuwaua? Ingependeza kama wengine wakamatwe wakiwa hai ili kulisaidia jeshi la polisi katika upelelezi.
Picha na majina angalia hapo juu.Maheremu hakuna picha zao? Hata nusu miili tu? Na je hakuna aliyekuwa walau na kitambulisho chochote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo anayetaka nusu miili, kwani ameambiwa marehemu walivamiwa na mamba au papa. Aache hizo bwana
Kwahy ulitaka police ndio wauwawe baada ya majibishano ya risasi na wahalifuHell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....
Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......
Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.
Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
mie bado nasubiri motive ya hicho kikundi cha MKIRU. Hadi sasa serikali imeweka 3 motives; dini (JPM na Mwigulu wamehusisha na mashehe wa uamsho), siasa (CUF/CHADEMA wamehusishwa kwa nyakati tofauti na ugaidi. Sasa serikali ituwekee na ushahidi which is which motive sie wananchi tuishike maana kwa kila motive moja ambayo serikali imeitaja ina socio-economic and security impact zake
Je, kosa liko wapi kusema mipango inafanyikia kwenye nyumba za kuabudia? Ikiwa ni kweli inafanyikia huko ulitaka aseme inafanyikia Tandale Uwanja wa Fisi. Ulitaka aogope kutamka NYUMBA ZA KUABUDIA au? Watu wa usalama wako kila mahali, makanisani, miskitini, nyumba za wabudha kule K/koo, masokoni, airport n.k. So, taarifa wanazo. Hajajikuta katamka, bali alipanga kutoa ripoti kama ilivyotoka.Ndugu,IGP Alipokuwa Kagera kajikuta katamka " mipango ya kuua huko KIBITI wanaifanyia kwenye NYUMBA ZA KUABUDIA",video iko YOU TUBE.
Soma hii thread niliuliza kuhusu hiyo kauli yake ya KAGERA ALIMAANISHA NINI
IGP anamaanisha nini juu ya kauli hii?
lakini hii kauli kwenye ripoti rasmi wanairuka ruka binafsi sijaisikia kama kuna aliyeisikia atusaidie hapa, wanaiongea pembeni kiuoga uoga, kwa wenye akili mtajua tu sio KWELI ni kama wanajaribu kuchomeka chomeka ili waone mtaipokeaje, mkiikubali ndio itakuja kutamkwa RASMI,
UONGO hata uutengeneze vipi mwisho wa siku hauwezi kuwa KAMILI bila NYUFA,
Hatuungi mkono matukio mabaya yoyote kama haya ya KIBITI, lakini pia hatuungi mkono hoja za kichukichuki zinazotaka kupandikizwa tena bila mashiko.
Ndugu, haya mambo yanakwenda hatua kwa hatua. Me naamini katika wafu 13, kuna waliopona na wapechukuliwa na vyombo vya usalama kwa mahojiano/uchunguzi zaidi. Watataja tu na kambi nyingine za wenzao zilipo. Ila polisi wakisema wamekamata majambazi/magaidi, mtaanza na habari zenu za HAKI ZA BINADAMU. Usalama hawawezi kutoa taarifa zote, nenda popote ulimwenguni. So, tulia ndugu. Utasikia tu kambi nyingine imefumuliwa muda utakapowadia.
Big up sana Sirro & Co.
Je, kosa liko wapi kusema mipango inafanyikia kwenye nyumba za kuabudia? Ikiwa ni kweli inafanyikia huko ulitaka aseme inafanyikia Tandale Uwanja wa Fisi. Ulitaka aogope kutamka NYUMBA ZA KUABUDIA au? Watu wa usalama wako kila mahali, makanisani, miskitini, nyumba za wabudha kule K/koo, masokoni, airport n.k. So, taarifa wanazo. Hajajikuta katamka, bali alipanga kutoa ripoti kama ilivyotoka.
He! Inamaana lengo ni kuihami?MUWE NA ELIMU HATA KIDOGO YA KIVTA HIVI UNAKUTANA GHAFLA NA MTU ANAANZA KUMWAGA RISASI MFULULZO UTAHANGAIKA KUMTEKA ILI UPATE TAARIFA AU UTAPAMBANA ASIKUUWE ILI UJIOKOE? MAANA YAKE NI KWAMBA KUNA WAKATI TAARIFA HAZINA UMUHMU KULIKO USALAMA WA ASKARI ALIYEKO FRONT
Huenda ni maelekezo toka juu.Mbona hao wahalifu wakikamatwa hamna anaekuwa haiii lazima wafe kulikoni