Majaliwa: TRA marufuku kuwatoza kodi za majengo wazee zaidi ya miaka 60.

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,939
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Majaliwa Kassim Majaliwa ameagiza Mamlaka ya mapato nchini TRA kutowatoza kodi za majengo wazee wenye miaka 60 na kuendelea, Waziri MKuu ameongea hayo wilayani Chato wakati akizindua jengo la mamlaka ya mapato wilaya ya Chato Mkoani Geita, kodi za majengo zinaanza rasmi kukusanywa nchi nzima tarehe 1/julai/2017
 
Double Standard it mean hata nkapa mwenye majengo lukuki asilipe kodi... na yeye soon atakuja tumia so anajiandalia mazingira.... kodi kwa kila mtu atenge fungu la pesa liwe linawalipia lakini sio kuachwa.. Matamko yasiyo na kichwa wala miguu yanazidi kila kukicha.
 
Hiyo sheria ipo siku nyingi amekumbushia tu. Msamaha no kwa nyumba anayoishi tu. Kama ana majengo ya biashara kodi IPO palepale
 
Jaribu kuwa muelewa, ukiwa na nyumba zaidi ya moja, unayaosamehewa ni Ile unayoishi
 
Double Standard it mean hata nkapa mwenye majengo lukuki asilipe kodi... na yeye soon atakuja tumia so anajiandalia mazingira.... kodi kwa kila mtu atenge fungu la pesa liwe linawalipia lakini sio kuachwa.. Matamko yasiyo na kichwa wala miguu yanazidi kila kukicha.
Sheria iko hivyo muda mrefu, haikutakiwa kuletwa kama Tamko
 
Back
Top Bottom