Majaliwa ni "Diver"na sio "Fire Fighter"

Majaliwa ni "Diver"na sio "Fire Fighter"

kuna kitu natafakati
huyu dogo naona kama wafanyakazi wenzake watakuwa wanamtenga maana wataona kama kawadharirisha au watahisi anaweza kupanda cheo mapema kuliko wao japo sina uhakika upande wa elimu na vilevile watajua lazima apewe attention
 
mtoa mada kuwa na wewe rais ili umuhamishie huko kwenye kudaivu kwasasa rais aliekutangulia kasema aende zimamoto
 
Back
Top Bottom