Kwamba ushaamka mapema namna hii??? Njoo kanisani nikuombee...Duh kweli maisha yamekabaa
Yaani huyo jaji wa kati rangi ya uso wake na mikono yake tofauti kabisa afu anahukumu urembo wa wenzieNaona jaji wa kati macho yashaanza kulegea
Yaani huyo jaji wa kati rangi ya uso wake na mikono yake tofauti kabisa afu anahukumu urembo wa wenzie
Nipo kanisani, ni vile mchungaji kasema tuimbe tenzi sasa mimi yangu iko simuniKwamba ushaamka mapema namna hii??? Njoo kanisani nikuombee...