Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,185
- 7,378
hee kumbe hata quran imeandika andiko hili? naomba aya namim nijionee
QURAN INASEMA ''KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI'' karibuni jamani kwenye dini ya Haki acheni kudnganywa.....!!!
Sura ya 3 - AYA YA 185hee kumbe hata quran imeandika andiko hili? naomba aya namim nijionee
Pindda aliposema wapigwe alimaanisha watu kama hawa!
Dini ya haki ndio kuteka mabinti na kuuwa watu wasio na hatia we BOKO HARAM??????
Mkuu unaharibu sasa Thread yangu hapa sipo mahali pa malumbano ya dini tafadhali jiheshimu kaka.Dini ya haki ndio kuteka mabinti na kuuwa watu wasio na hatia we BOKO HARAM??????
Tatizo hapa sio nguvu ya YESU IMESHIDWA KUFANYA KAZI isipokuwa watu kutofuata kanuni za upoNyaji /maombezi Mtu ambaye nafsi imechukuliwa akicheleweshwa kuirudisha kutoka shim¨®ni .unampoteza .Kwa hiyo kilichokosekana pale ni kutofahamu chanzo cha tatizo mapema ,na kuirejesha nafsi kabla hajakata pumzi
Hili ndilo kosa linalotokea kwa baadhi watu wengine kama kanumba ,chimfupa
japo wao walikuwa na mambo yao na miungu yao !-!!
Ukiwa mfuasi wa makanisa, sikushangai ukamwita mchungaji wako Mungu
Dini ya haki ndio kuteka mabinti na kuuwa watu wasio na hatia we BOKO HARAM??????