Maisha

nur

Member
Joined
Mar 28, 2012
Posts
63
Reaction score
11
Mwaka 2004 nilianza kazi nikiwa mwl wa shule ya msingi na 2005 nikaoa kwa ndoa ya kikristo kanisani.

Kabla ya mke wangu kuwanae tayari nilikuwa na mtoto 1 na mke wangu pia nikazaa nae mtoto mmoja.

Tuliishi vizuri sana na mke wangu kabla ya mwaka 2007 kuanza kurubuniwa na wanaume wengine akiwemo na ndugu yake.

Mwaka 2006 nilianza kutafuta credit za form 4 kitu ambacho yeye akupenda nilimwelewa ikashindikana.

Mwaka 2009 akaenda kwa ndugu yake singida akarudi kwa miezi kadhaa 2010 mimi nilipopata nafasi ya chuo kikuu yeye akaondoka na kwenda kwa ndugu zake na hatimae Arusha baadae Dar. Nikafuata viongozi wa kanisa wakanipa utaratibu wa talaka lakini hata kama nitaoa siwezi funga ndoa kanisani tena.

kwasasa nimiaka minne sinae hiyo mwanamke nimepata kibali cha talaka lakini najuuliza maswali mengi kuhusu maisha yangu bila mke kwani madada wengi wanataka ndoa ya kanisani nami kwa sasa siruhusiwi hiyo.

sijui nifanyeje. umri miaka 32. no ya simu ni 0784567456 naomba ushauri hata kwa sms pm na kupiga.

Nimeandika macheche.
 
Talaka.....,

endelea kutafuta utampata alie tayari kufunga unakohitaji wewe
 
So what is your intentions???
Ungekuwa mudiplomat ningekupigiamo.
 
hili ni tangazo la kutafuta mchumba ambaye hahitaji ndoa ya kanisani eehhh?
 
Aisee wanawake bana kweli ni changamoto.. sp nani anakusaidia kulea watoto?
 
Endelea kumatfuta utakayekuwa unazini naye.
 
uliwahi sana kuoa ndio maana unasumbuka sasa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…