Maisha!!!

Hujazeeka bado kaka namba zao zitajaa😛oa
 
????inamaana hao vijana hawaugui???
 
????inamaana hao vijana hawaugui???
vijana wanaugua ila wana nguvu ya kuwahi matibabu uzeeni inabidi uwe na usafiri wa karibu mara zote maana umri ukisogea matatizo nayo yasogea mkuu!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…