Hapo msibani huoni binti ana mguu wa mjini kabisa na nguo ya kimjini
sio maisha ya kila siku lkn bado ni maisha,hivyo dhana ya maisha bado iko palepale.. huenda sio hao wanaoishi hivyo lkn wapo wanaoishi hivyo,dhana ya maisha ni pana ukiipanua!tuanze na mpiga picha alisaliti wenzao, akachepuka na kuwapiga picha. awali alilalia viatu, kando ya chupa ya maji.
haya sio maisha ya siku zote kama kichwa cha habari kinavyotaka kutuaminisha. hawa wamejikuta katika hali hii kutokana na msukumo wa ghafla: dharula ya ubovu/hitilafu ya chombo cha usafiri, msiba; ndio maana tunaona chupa ya maji na mabegi pembeni.