Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Usiende singida nenda Songea Mbinga,,ukiiona bajaj ni kama umeona ndege ya rais trumpMimi hapa ni Taxi driver ndani ya jiji.naendesha gari langu mwenyewe aina ya Rav4.kazi ni ngumu mpaka nawaza niiuze hii gari ninunue bajaji zangu mbili niende pale Singida mjini niwe dereva bajaji,yamkini ntapata pesa
Mkuu mi naishi Mwanza..nikienda Songea naona kama ni mbali sana kuiacha familia hapa,lakini hapo Singida nafanya kushuka tu week end ya mwisho wa mwezi.naona kama Singida bajaji zinafanya kaziUsiende singida nenda Songea Mbinga,,ukiiona bajaj ni kama umeona ndege ya rais trump
wazo zuri mkuuMkuu mi naishi Mwanza..nikienda Songea naona kama ni mbali sana kuiacha familia hapa,lakini hapo Singida nafanya kushuka tu week end ya mwisho wa mwezi.naona kama Singida bajaji zinafanya kazi