Pope Francis Chuma
New Member
- Dec 24, 2018
- 2
- 1
Hoja yako sio kabisa. eti totoz kaliBoss kuajiriwa ndio maisha,
Kujiajiri ni msote mazee, sometimes unaweza kulala kma ukishindwa kupiga hesabu vzuri.
Usidanganyike navipost vyetu kua tumelima mapapai tumeuza tumekua millionair. Tunakua wabahili mpaka totoz wakali wanatupia mbali nasio kwakupenda kwetu nisababu hatuna uhakika wakesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha inamana mkuu unataka jamaa aendelee kuajiriwa?Boss kuajiriwa ndio maisha,
Kujiajiri ni msote mazee, sometimes unaweza kulala kma ukishindwa kupiga hesabu vzuri.
Usidanganyike navipost vyetu kua tumelima mapapai tumeuza tumekua millionair. Tunakua wabahili mpaka totoz wakali wanatupia mbali nasio kwakupenda kwetu nisababu hatuna uhakika wakesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa anawenge tuu, aache kazi aone jinsi itakavokua kazi kupata kazi