I feel your pain bro, yani maisha yanakuwa kama ya mdudu huoni mwangaza mbeleni.Pole Sanaa mkuu hilo tatizo linatukumba wengi lakini tofauti kidogo nawewe ambaye ulikua na maisha yako mazuri tuu..
Ila sisi tusio na ajira yoyote na vyanzao vya MAPATO vya uhakika tuna hali mbaya hujui utaowa lini ama utakua na family stable mwaka gani...
Wataalam tusaidiane haya mambo
Rekebisha point ya kwanza na ya pili. Mengineo yote yatakaa sawaSipendi marafiki,
Sidumu kwenye mahusiano,
Sitaki kuoa,
Sitaki kuishi na mtu,
Sipendi kusaidia,
Sipendi kusaidiwa,
Sipendi kazi yang,
Ni mkali kuliko kawaida,
Sipendi kelele,
Sipend malumbano na ushindani,
Napenda visasi na lawama,
Sipendi kuuliza (mfano naenda sehem naweza nisiulize mpaka gari ikanipitisha)
Sipendi kuulizwa (naweza kuulizwa kitu najua ila nikasema sifaham)
Kisirani moto
Nongwaa
Nakasirika ovyo
Ni mengi yananizonga nilizani ni peke yangu kumbe tupo wengi