twende wote
Member
- Mar 29, 2021
- 50
- 84
Ilikuwa miaka ya 97 wakati naingia kidato Cha kwanza ktk shule moja ya tech,iliitwa yombo. Maeneo ya vituka, nawakumbuka mwl wangu moja aliitwa mafwili, na lufumbo
Dah hapo nagusia kabla sijaachana na shule kuelekea ughaibuni, Safari yangu ya kwanza ilianzia dar kuelekea south, nilipewa Ada yangu ya shule wakati huo ilikuwa 116k kwa day km sikakosea, nilikaa na Ada wakati tayari wapo machizi wangu wakisoma bagamoyo tukisubiri mchongo wa Safari
Siku ya Safari tulitoka dar kwa express train ya Zambia tazara, wakati tukiwa na temporary paspot za karatasi,na poker money km TSH 80, huuuu mpk Zambia, tukaisaka boda ya Zimbabwe, huu kimbembe ni kuuvuka mto Limpopo, dah mamba wengi
Kuna wataalam wa kuvusha watu unalipia km TSH 10, kwa wakati huu, wakati tuko njiani, Mara Wana Kijiji wakastuka kwamba sisi ni wageni, wakaanza kutuhoji, tukashindwa kujibu wakaanza kutufukuza na viboko juu, huku wakisema chikara wale chikara wale, sijui walimaanisha nini
Basi, mwishowe walirudi tukasonga tukavushwa na wenyeji, Mara paap joburg hii hapa
Dah ki fupi ni jiji zuri Sana watoto wazuri, chakula Cha waziri anakula hata machinga, nyama ya kuku ndio Bei rahisi km dagaa bongo
Basi tukaingia mtaani na jamaa yangu aliitwa Roby mtoto wa Kota tazara, tulianza biashara ya matunda na pipi, ilikuwa inalipa, unavaa vizuri,unakula vizuri, inalipa Kodi ya nyumba, Mimi sio mzuri ktk kuelezea lakini nivumilie kama utapenda, ntaeleza hatua kwa hatua,mpaka Safari yangu ya Sweden na leo ni raia wa Canada, kuwa mvumilivu kidogo.
Stay tuned