Maisha yangu sio ya furaha tokea aniwache.

Maisha yangu sio ya furaha tokea aniwache.

St Lunatics

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Posts
6,641
Reaction score
11,201
Kila siku huletwa uzi hapa mwanamme anaomba ushauri au ana lalamika juu ya mpenzi wake kumuumiza.
Hizi topic zimekuwa nyingi sana:-
1 Tulikuwa tunapendana sana.
2 Sijui kwanini hafla amekata mawasiliano.
3 Namtumia sms, Nampigia cm lakini hanirejeshei.
4 Wewe mwanaume bado unampenda, na unajaribu akupende kama mwanzo.
5 Unauliza marafiki au unaandika uzi:- Ufanye nini ili akupende tena.
In almost all these cases, I say the same thing...
You need to take the step to let the girl go and move on. And you need to start having conversations with other women.
Ni vigumu kwa mwanaume kuamini na kukubali matokeo. Lakini fikiria utajisikia vipi kumpenda mwanamke asie na upendo nawe au upendo wake umeisha kwako?.
Kumgagania mwanamke mmoja unasababisha kufunga milango ya kuonana na wanawake wengine. Kuna wanawake zaidi ya milioni 20. Kwanini unamgagania huyu mmoja tu?
Halafu ukishaumizwa ndio unaanza na mawazo ya kuwa wanawake wote Mal**aya. Wakati mmoja ndie alie kuumiza na kuona wote wapo sawa tu.
Unajaribu kumganda ukitegemea kuna siku atakubali na kurejea kama mwanzo.
Sababu kubwa inayokusukuma usimuache eti:-
1 Hutapata mwanamke mzuri na kuendana nae kama huyu.
2 Ushatumia hela nyingi sana juu yake.
3 Marafiki watakucheka na hautapata mzuri kama yeye.
But that's bullshit. First off, If you're living in this type of fear, you'll be miserable. And second there are literally billions of women you can attract, and millions upon millions of high quality girls.
Huyo mwanamke wako hata awe na sifa zote lakini pia bado kuna wanawake, utakutana nao wenye sifa nzuri. Na mkawa na mawasiliano mazuri juu ya mapenzi bila ya kuziumiza hisia zako.

Ujumbe wa leo:-

Mwanamke ni kama soko la hisa (stock market), Hisa ikishuka na ikileta hasara utaiuza na kuwekeza kwengine. Lakini Hisa hio hio ikileta faida utaiweka na kufurahia faida yake.
 
Lemutuz anapenda kiki, kanitext eti trump akiizungumzia afrika anamzungumzia yeye sio sisi.
 
Tatizo nn utakuta mwanaume analalamika eeee kaachwa lkn ukija kuwauliza wote wawili mwanamke anakua na sababu ya kueleweka kabisa kumuacha mwanaume. Utakuta mwanau.e mlevi au hatulii na k moja au hana mipango endelevu na huyo mwanamke.
 
Tatizo nn utakuta mwanaume analalamika eeee kaachwa lkn ukija kuwauliza wote wawili mwanamke anakua na sababu ya kueleweka kabisa kumuacha mwanaume. Utakuta mwanau.e mlevi au hatulii na k moja au hana mipango endelevu na huyo mwanamke.
Pande zote mbili kuna malalamiko lakini leo nimekuja kuwashauri wanaume wenzangu, kujifunza kuwacha pasipo na mapenzi. lakini hata mwanamke anaweza kufaidika akiondoa kila palipo andikwa mwanaume na kuweka mwanamke.
 
Tumekusikia, kinachonishangaza ni kufananisha wanawake na soko la hisa. Kama umeachwa vumilia tu utampata mwingine na sio kukashifu wanawake.
 
Effort ni kitu muhimu sana kwa mwanamke, ukiwa nae show her the same effort ulionyesha kwanzia unamtongoza sio umempata unaanza vimbwanga aysee lazima upendo uishe
Alaf ndo blames zinaanza kupelekwa kwa mwanamke akati ni kitu umekitengeneza mwenyewe,japo kuna sababu nyingine zinaletwa na sisi wenyewe.
 
There is always next life after break up. Even if it seems to be so hard at the moment of break up.

Wanaume wengi kinachouma ni ile kuwekeza sana kwa huyo mwanamke, na bado hujamuoa, ndio hiyo mwanamke akija kukupiga chini, mtu anaweweseka.

Mnapokuwa katika uchumba wekeza kwenye future yako, na moyo wako, wekeza kwa mwanamke kama umesha muoa otherwise utakuwa unacheza mchezo wa bahati nasibj baadae uje kuumia.
Guys muwe makini !
 
Back
Top Bottom