sangujoseph
Senior Member
- Nov 30, 2015
- 164
- 183
Anawabania kivip?Jana ndio nimedhibitisha Mond anawabania Wasanii wake wasipate endorsement.
Harmonize alifanya chaguo sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
We huoni ??? Rayvan nyegezi hana ata dili la condomu ao AsasAnawabania kivip?
By Sangu Joseph
.
Agosti 2019 : Harmonize alijiondoa WCB (Salam Alithibitisha)
Januari 2020 (Harmonize alisaini mkataba wa kazi na Sayona (Endorsement) )
Januari 2020 - Harmonize akaanza Tour / Matamasha kama yote.
March 2020 - Karelease Album tena uzinduzi wa kibabe.
Aprili 2020 : Katambulisha Msanii Ibraa TZ
April 2020 : Alikiba kaachia ngoma #Dodo
Aprili 2020 : Harmonize kasaini Dili la CRDB #TemboAnaongea
April 2020 : Alikiba amekimbiwa na Wasanii.
April 2020 : Diamond Kaongeza Dili la Pepsi Max
Alikiba : Kujibu madai kwanini wasanii wameondoka.
Harmonize anashambulia sana / Mondi anashambulia /. Alikiba anajishambulia.
.
.
#KijanaMzalendo #IloveTZ
Sent using Jamii Forums mobile app
Rayvanny kutokuwa balozi wa company ndio kunyonywa? Hiv unajua kanuni za endorsement mbona wasanii wengi hawana endorsement nao wananyonywa? mfano mzuri Vanessa mdee,Roma,Darassa,Aslay n.k company ndio inapanga Nani anaweza kuwatangazia bidhaa zao na Wana vigezo vyao wanavyoangalia ndo maana gigy money na shishi baby pamoja na kwamba sio good singers lakini Wana endorsement wengi kuliko msanii yoyote bongo ukimtoa diamond.
Hivi wewe kama investors kwa wasanii wa wasafi, unataka bidhaa yako ivume ndani na nje ya Tz, ni nani utamchagua ktk endorsement ya product zako? Hayo makampuni sio yanachagaguliwa diamond, yanachagua yenyewe!Jana ndio nimedhibitisha Mond anawabania Wasanii wake wasipate endorsement.
Harmonize alifanya chaguo sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app