Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,085
- 16,060
Wakuu mimi sielewi
Nina mshikaji wangu mmoja kila tukikutana ni vizinga plus analalamika maisha magumu. Ni jamaa yangu classmate etc ila mpaka muda huu ana watoto wa 3, leo nmekutana naye tena ananambia mkewe ana mimba. Nikasema 'bro are u serious?'. Eti anajibu, Ndio bro nishasababisha tena huku anacheka.
Sasa najiuliza, na jua hili kali na hali yake kiuchumi why anafanya hivyo? Au ndio anaamini mtoto analeta riziki?
Unajua sielewi kabisa yaani, au labda nakosea wakuu?
Uzi tayari