KERENG'ENDE
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 398
- 31
Haya maisha bora kwa kila Mtanzania mbona siya pati namimi mbona ni Mtanzania au ninakosea nini au natakiwa kuwa na kadi ya chama cha Mapinduzi? Mbona sielewi kila sikubheri ya jana.
Naomba msaada wa mawazo nifanyeje ili leo iwe bora kuliko jana,nimeamua kuhama mjini nikajaribu maisha ya kijijini ingawa sina uzoegu nayo pdngine huko kuna unafuu. Nime amua kuhama nyumba yangu na nina ipangisha nina msongo wa mawazo tafadhalini mnisaidie wapi nimekosea mpaka nina juta kuwa mtanzania.
Moderators mme toa tangazo langu la kupangisha nyumba Kule kwenye jukwa la biashara jamani mnataka niwe mwizi?
Au kwaszbabu mmejua kuwa sina kadi ya ccm?
mh! hii katika hii thread mwandishi anaonekana amechoka kweli si kidogo tafadhali wanajukwaa tumpe msada
Hata jina lako linachangia kushindwa kukaa mjini na kijijini ndo hutaweza kabisaHaya maisha bora kwa kila Mtanzania mbona siya pati namimi mbona ni Mtanzania au ninakosea nini au natakiwa kuwa na kadi ya chama cha Mapinduzi? Mbona sielewi kila sikubheri ya jana.
Naomba msaada wa mawazo nifanyeje ili leo iwe bora kuliko jana,nimeamua kuhama mjini nikajaribu maisha ya kijijini ingawa sina uzoegu nayo pdngine huko kuna unafuu. Nime amua kuhama nyumba yangu na nina ipangisha nina msongo wa mawazo tafadhalini mnisaidie wapi nimekosea mpaka nina juta kuwa mtanzania.
Moderators mme toa tangazo langu la kupangisha nyumba Kule kwenye jukwa la biashara jamani mnataka niwe mwizi?
Au kwaszbabu mmejua kuwa sina kadi ya ccm?
sikiliza wewe kereng'ende, maisha bora unayo wewe mwenyewe, maisha mabaya unayo wewe mwenyewe, MUNGU unaye wewe mwenyewe, shetani unaye wewe mwenyewe, unachotakiwa ni kujitambua tu, kukata tamaa ni dhambi kubwa sana ambayo adhabu yake ni mbaya sasa, kitu cha maana ulichosema wewe kereng'ende ni suala la kurudi kijijini, hilo mimi ninakubaliana na wewe asilimia mia moja na hata kama kuna mtu mwingine anataka kurudi kijijini nitamuunga mkono asilimia mia. kwa hiyo ndugu kereng'ende rudi kijijini haraka sana na ukafanye kazi kwa bidii na maarifa.Haya maisha bora kwa kila Mtanzania mbona siya pati namimi mbona ni Mtanzania au ninakosea nini au natakiwa kuwa na kadi ya chama cha Mapinduzi? Mbona sielewi kila sikubheri ya jana.
Naomba msaada wa mawazo nifanyeje ili leo iwe bora kuliko jana,nimeamua kuhama mjini nikajaribu maisha ya kijijini ingawa sina uzoegu nayo pdngine huko kuna unafuu. Nime amua kuhama nyumba yangu na nina ipangisha nina msongo wa mawazo tafadhalini mnisaidie wapi nimekosea mpaka nina juta kuwa mtanzania.
Moderators mme toa tangazo langu la kupangisha nyumba Kule kwenye jukwa la biashara jamani mnataka niwe mwizi?
Au kwaszbabu mmejua kuwa sina kadi ya ccm?
haya maisha bora kwa kila mtanzania mbona siya pati namimi mbona ni mtanzania au ninakosea nini au natakiwa kuwa na kadi ya chama cha mapinduzi? Mbona sielewi kila sikubheri ya jana.
Naomba msaada wa mawazo nifanyeje ili leo iwe bora kuliko jana,nimeamua kuhama mjini nikajaribu maisha ya kijijini ingawa sina uzoegu nayo pdngine huko kuna unafuu. Nime amua kuhama nyumba yangu na nina ipangisha nina msongo wa mawazo tafadhalini mnisaidie wapi nimekosea mpaka nina juta kuwa mtanzania.
Moderators mme toa tangazo langu la kupangisha nyumba kule kwenye jukwa la biashara jamani mnataka niwe mwizi?
Au kwaszbabu mmejua kuwa sina kadi ya ccm?
ili nikupe ushauri mzuri ambao huwezi kuutegemea ktk maisha yako nijibu haya maswali mawili tu! Kila swali lina maana yake: (1) ww ni jinsia gani? (2) una umri gani?.pole sana mkuu, samahani mkuu kabla ya ushauri naomba nikuulize maswli machache ,kamakweli unanyumba ya kupangisha tena ya biashara ,unaimliki wewe na uliijenga wewe au n iya urithi? ,navyofahamu mimi kujenga nyumba mjini lazima ulikuwa na kipato kikubwa ambapo ulikuwa unijibana mpaka ukajenga nyumba, je huko kijijini unenda kwa nani? Na malengo yako huko ni nini?
sikiliza wewe kereng'ende, maisha bora unayo wewe mwenyewe, maisha mabaya unayo wewe mwenyewe, MUNGU unaye wewe mwenyewe, shetani unaye wewe mwenyewe, unachotakiwa ni kujitambua tu, kukata tamaa ni dhambi kubwa sana ambayo adhabu yake ni mbaya sasa, kitu cha maana ulichosema wewe kereng'ende ni suala la kurudi kijijini, hilo mimi ninakubaliana na wewe asilimia mia moja na hata kama kuna mtu mwingine anataka kurudi kijijini nitamuunga mkono asilimia mia. kwa hiyo ndugu kereng'ende rudi kijijini haraka sana na ukafanye kazi kwa bidii na maarifa.