Maisha yamekua magumu hivyo

Maisha yamekua magumu hivyo

kagombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
3,624
Reaction score
1,826
f308862a-b608-446c-88c2-8eeee8c61714.jpg
 
Iyo picha imechukuliwa asubuhi mara tu baada ya kufanya usafi wa friji, njoo mchana uchukue picha nyingine ushuhudie friji inavyopendeza kwa matunda, vinjwaji, nyama ,samaki na mapochopocho ya kila aina.
 
Nini mkuu kilichosibu hapo?wengine fridge wamezima maana hata hiyo hela ya kugharamia umeme wanywe maji ya baridi hawana.

Wewe una afadhali shukuru!
 
Ukimaliza kunywa maji na mwenye nyumba akija kudai kodi usisite kunistua kuhusu iyo friji nikupe ela mkuu
 
Back
Top Bottom