jamaikatz
JF-Expert Member
- Jul 11, 2023
- 369
- 1,252
Maisha yako yote hadi unakufa hakikisha haukosi watu hawa;
1. Mwanasheria
2. Daktari
3. Polisi
4. Mwanajeshi
5. Mtu wa IT
6. Dalali
7. Misheni town
8. Mchungaji/shekh
9. Mtu anaye wajua watu (connection)
10. Michepuko
Wanaokoa sana watu hawa
Nb. Ongeza na wewe wa kwako
1. Mwanasheria
2. Daktari
3. Polisi
4. Mwanajeshi
5. Mtu wa IT
6. Dalali
7. Misheni town
8. Mchungaji/shekh
9. Mtu anaye wajua watu (connection)
10. Michepuko
Wanaokoa sana watu hawa
Nb. Ongeza na wewe wa kwako