Maisha yaendelee

safi sana hii mkuu, inanikumbusha sehemu za dodoma, bahi huko. hizi nyumba kama umemwaga zege juu, ukimkuta mgogo mdani na chungu cha ugali wa mtama mwekundu na mlenda, maisha safi kabisa yanakwenda, anashangilia tu, ccm nambari one eheee!
 
Heri yake analala kwake,anakula chake,eneo lake kuliko kuishi nyumba ya maana ila umepanga
 
Hii Dodoma, bora uishe kwako kwa amani kuliko kupanga kwa karaha
 
Muhimu kuwa na furaha, amani ya moyo, na kuridhika.

Maisha yanasonga mbele bila kipingamizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…