Uchunguzi uliofanywa na kamera ya KigodoroTV, imebaini kuwa watu wa vijijini maisha yao yamekuwa bora zaidi ndani ya mwaka 1 wa jpm. Mwandishi wetu amepita sehemu mbalimbali za nchi hii na kubaini kuwa kelele za maisha magumu zinapigwa na watumishi wa umma tu pamoja na wafanyabiashara wa kati na wakubwa waliozoea kupiga dili.
ambapo idadi yao kwa pamoja ni takribani mil 1.
hii ndiyo kusema watanz waliobakia 49mil wanafurahia maisha.
mfano mamantilie, bodaboda na machinga sasa ruksa kufanya biashara katikati ya mji. maana yake ni kwamba sasa makundi ya watu hawa yanapiga hela.
kwa vijijini wananufaika na rushwa na ubabaishaji ktk ofisi za umma kuondoshwa, elimu bure na kuimarika kwa baadhi ya mazao ya biashara kama vile korosho na pamba.
bei ya korosho imeleta kwa wananchi wa mikoa ya pwani, lindi na mtwara wakati ile ya pamba imeleta neema kwa mikoa ya mwanza shinyanga, simiyu na geita.
hoja hapa ni kwamba kwa ujumla hali huko vijini ni nzuri mno. na hapa mjini kundi kubwa la watu wanapata riziki zao.