Maisha ya waislam wakienda peponi

Maisha ya waislam wakienda peponi

Status
Not open for further replies.
Kifo

Ewe Allah,mjaalie kiumbe wako huyu apate kukufahamu kwa namna yoyote ile unayoona itamfaa yeye kukufahamu.

Aamin.
Huyo Allah, Alishindwaje kuwapa ufahamu watu wote duniani wakamfahamu yeye siku zote na wakati wote?

Huyo Allah hayupo ndio maana unahangaika kumwelezea na kumtetea.

Huyo Allah kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe na kujitetea mwenyewe kama ana huo uwezo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom