Maisha ya uswazi hatari sana.

Maisha ya uswazi hatari sana.

J putin

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2018
Posts
1,263
Reaction score
1,208
Wakuu nipo sehemu maeneo ya dar hapa ,nafanya kazi moja ya serikali leo ni siku ya tatu ,nimechukua na chumba maana nitakaa karibia miezi miwili,kutoka hapa nilipo mita chache wanapiga mziki hatari,nimeshindwa hata kulala,maana huo mdundo wake usipime

Nimetoka nje maana ndani huwezi kulala kwa huu mdundo,kweli maisha ya uswazi wamezoea waswazi wenyewe,ila wana mademu wakali mpaka roho inatamani,na mimi kuparamia hapana,nimekaa tu hapa naona wanavyoburudika na mziki wao,

Maisha ya uswazi wanaweza wao,

Nimeshapachoka huku ni bora hii kazi nimalize mapema niondoke maana huku hapana.

Wenye uswazi wao ndo maisha ya uswazi haya? Ebu njooni hapa kwa hizi kelele mnalalaje ili nipate na mimi uzoefu jamani
 
JF bwana hadi raha kua mtu anapanga uswazi kwa miez 2 tu kwa issue ya kikazi
 
Ebu acheni kunichekesha toeni hoja
 
Kwani inashindikana,watu wanafanya kazi dar,ila wanaishi mwanza,wanakuja na jet ya saa kumi na mbili kwa nn uswazi ishindikane kwa miezi miwili?
JF bwana hadi raha kua mtu anapanga uswazi kwa miez 2 tu kwa issue ya kikazi
 
Back
Top Bottom