Maisha ya uswahilini ovyo sana!!!

kama unampenda mpangishie kagorofa hapo mbezi bichi uone kama kuna mtu atakuchungulia.
 
Umenikumbusha enzi zileee nikimtembelea demu wangu mitaa ya m'nyamala sokoni nyumba za kupanga za uswahilini. Basi mama mwenye nyumba alikuwa anawafukuza watoto wasichezee dirishani kwetu, utasikia akiwaambia "acheni kelele hapo dirishani wakubwa ndani wamepumzika" 🙂. Aisee, basi hapo inakuwa swaafi sana mabao ya mpigo inakuwa hehehe

 
mmmmh nenda kampangishie karibu na kwako ili aachane na maisha ya uswahilini.huo uhuni utakusaidia nini wewe baba mtu mzima mwenye mtoto wa sekondari? hayo mambo waachie vijana.I hate u coz i knw u personally.
 

Una uhusiano na mtoto mdogo achana nae au mrekebishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…