mlevi sugu
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,981
- 3,875
Haya ndio maendeleo yenyeweKipindi ninapokuwa enzi ya `90 maisha yalikuwa kwenye,msingi ya kiamadili.Na heshima ilidumu,matukio ya kikatili hayakuwepo tofauti na sai.Ila hii karne ya 21 imezidi,matukio kila kukicha.Moyo upendo haupo tena,chuki ndio imetawala.
Mungu akupe maisha marefu sana jerry...Haya yote ni matokeo ya kutelekeza baadhi ya mila na desturi zetu zilizokuwa nzuri na kujikita kwenye utandawazi na kubeba yote pasipo kuchuja.
Malezi ya hovyo ndani ya familia na jamii yamepelekea mmomonyoko wa maadili. Imesababisha ongezeko la single mothers ni bomu linalosubiri kulipuka.
mtu wa themanini awe bibi? Labda alizaa mapema sana na sekondari hakwendaNapenda maisha za zamani .
Niliwahi kusema hivi
Napenda maisha ya tisini..
Bora ningezaliwa miaka ya 80 sasa hv ningekua na umri wa bibi yangu an sasa hv mimi ningekua kikongwe nipp zangu mtwara msanga mkuu...
Vishu Mtata
Sio bibi tu, amesema kikongwe.mtu wa themanini awe bibi? Labda alizaa mapema sana na sekondari hakwenda
kama wa themanini wanaitwa vikongwe wa sabini wataitwaje? Hawa watoto wa sasa wanazeesha watu haraka sana. Kijana wa miaka 40 anaitwa mzee!Sio bibi tu, amesema kikongwe.
Nimeshtuka sana kuona sisi wa themanini tunaitwa vikongwe
Kwa mara ya kwanza naona kikongwe wa miaka 40
Maisha yako hivihivi tangu zama za kale tofauti inakuwa ni environment uliyopo.Kipindi ninapokuwa enzi ya `90 maisha yalikuwa kwenye,msingi ya kiamadili.Na heshima ilidumu,matukio ya kikatili hayakuwepo tofauti na sai.Ila hii karne ya 21 imezidi,matukio kila kukicha.Moyo upendo haupo tena,chuki ndio imetawala.
Kumbeee basi ni miaka ya 60 mkuumtu wa themanini awe bibi? Labda alizaa mapema sana na sekondari hakwenda
Daaah sijapiga mahesabu ya fasta fasta ila sijamaanisha mtu wa 40 ndo kikongwe mkuu ππππππππππSio bibi tu, amesema kikongwe.
Nimeshtuka sana kuona sisi wa themanini tunaitwa vikongwe
Kwa mara ya kwanza naona kikongwe wa miaka 40
Kijana zamani kula mishangazi ilionekana kama laana, sijui kama ungedumu maana wanakijiji wangekuua kijana mchungulia nyuchi za wamama waliokizidi umri.Napenda maisha za zamani .
Niliwahi kusema hivi
Napenda maisha ya tisini..
Bora ningezaliwa miaka ya 60 sasa hv ningekua na umri wa bibi yangu an sasa hv mimi ningekua kikongwe nipp zangu mtwara msanga mkuu...
Vishu Mtata