Maisha ya Polisi;Waeleza kwanini wengi wanapokea rushwa

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,931
Baadhi ya askari polisi kutoka mikoa mbalimbali nchini wameeleza sababu za wao kujiingiza katika kupokea rushwa kutoka kwa raia kuwa ni kutokana na kupata kipato kidogo ambacho hakitoshi kuhudumia familia zao.

Baadhi ya polisi waliozungumza nagazeti hilikutoka mkoani Mbeya kwa nyakati tofauti wanasema kuwa hali ya maisha yao ni mbaya, hasa kwa askari wasio na vyeo ambao ndio wanaoishi katika nyumba za polisi.

"Nyumba tunazoishi pale eneo la Sinde ni aibu, sisi wenye familia haifai hata kusimulia, kwani unapewa chumba kimoja cha kulala na sebule halafu unawatoto unafikiri nini kinaendelea hapo,"anasema askari mmoja ambaye hakutaka jina lake litajwe gazetini.

Anasema mara nyingi wamekuwa wakiwalaza watoto sebuleni bila kujali jinsia zao, kwamba wakati mwingine iliwazazi wanapohitaji kukutana faragha huwalazimu kwenda kulala katika nyumba za wageni.

"Huwezi kufanya faragha na mkeo huku watoto wakiwa wamelala sebuleni halafu wa jinsia moja hivyo kwa sisi wengine tunaamua kuingia gharama nyingine ya kwenda kulala katika nyumba za wageni ili kuepuka kuwaharibu watoto kisaikolojia," anasema.

Askari mwingine kwa sharti la kutotajwa jina anasema mazingira ya nyumba hizo ni machafu na kuna msongamano mkubwa wa watu hasa katika huduma ya choo kwani hutumiwa na watu wengi.

"Ukitaka kuona adha ya choo ni muda wa asubuhi ambapo kila mmoja anahitaji huduma ya bafu kwa ajili ya kuoga na kuwahi kazini, inakuwa kama sinema vile hivyo mazingira ya nyumba zetu bado hayafai…," anasema.

Kwa upande wake Koplo Atupele anasema kuwa kwa wale ambao ndiyo wanaanza kazi hupangiwa kulala kwenye bwalo ambapo hutandika magodoro chini, hulala eneo hilo mpaka watakapopata nafasi katika nyumba za serikali.

"Ndiyo maana utakuta askari wengine wanaamua kwenda kuishi uraiani ili kukwepa adha ambayo wanaipata kwenye kota," anasema.

Anasema maisha halisi ya polisi kwa kiasi fulani yanachangia kujiingiza katika vitendo vya kupokea rushwa na kukiuka maadili.

Mtwara
Maisha duni kwa askari polisi wa vyeo vya chini nchini yanaelezwa na baadhi ya polisi mkoani Mtwara kuwa ni chanzo cha wao kujiingiza katika vitendo vya uhalifu na unyanyasaji kwa wananchi.

"Kwa ujumla mazingira ni duni, tunakwenda lindoni tukiwa hakuna sehemu maalum kwa ajili ya lindo, mvua yetu, jua letu, ukirudi ofisini mabosi nao wanakunyanyasa…, ili uishi vizuri kwa sisi askari wadogo ni lazima ‘uji-attach' na bosi ambaye akikupangia kazi yenye maslahi lazima umuachie kitu kidogo (fedha)" anasema mmoja wa polisi hao.
 
Baadhi ya askari polisi kutoka mikoa mbalimbali nchini wameeleza sababu za wao kujiingiza katika kupokea rushwa kutoka kwa raia kuwa ni kutokana na kupata kipato kidogo ambacho hakitoshi kuhudumia familia zao.

Baadhi ya polisi waliozungumza nagazeti hilikutoka mkoani Mbeya kwa nyakati tofauti wanasema kuwa hali ya maisha yao ni mbaya, hasa kwa askari wasio na vyeo ambao ndio wanaoishi katika nyumba za polisi.

“Nyumba tunazoishi pale eneo la Sinde ni aibu, sisi wenye familia haifai hata kusimulia, kwani unapewa chumba kimoja cha kulala na sebule halafu unawatoto unafikiri nini kinaendelea hapo,”anasema askari mmoja ambaye hakutaka jina lake litajwe gazetini.

Anasema mara nyingi wamekuwa wakiwalaza watoto sebuleni bila kujali jinsia zao, kwamba wakati mwingine iliwazazi wanapohitaji kukutana faragha huwalazimu kwenda kulala katika nyumba za wageni.

“Huwezi kufanya faragha na mkeo huku watoto wakiwa wamelala sebuleni halafu wa jinsia moja hivyo kwa sisi wengine tunaamua kuingia gharama nyingine ya kwenda kulala katika nyumba za wageni ili kuepuka kuwaharibu watoto kisaikolojia,” anasema.

Askari mwingine kwa sharti la kutotajwa jina anasema mazingira ya nyumba hizo ni machafu na kuna msongamano mkubwa wa watu hasa katika huduma ya choo kwani hutumiwa na watu wengi.

“Ukitaka kuona adha ya choo ni muda wa asubuhi ambapo kila mmoja anahitaji huduma ya bafu kwa ajili ya kuoga na kuwahi kazini, inakuwa kama sinema vile hivyo mazingira ya nyumba zetu bado hayafai…,” anasema.

Kwa upande wake Koplo Atupele anasema kuwa kwa wale ambao ndiyo wanaanza kazi hupangiwa kulala kwenye bwalo ambapo hutandika magodoro chini, hulala eneo hilo mpaka watakapopata nafasi katika nyumba za serikali.

“Ndiyo maana utakuta askari wengine wanaamua kwenda kuishi uraiani ili kukwepa adha ambayo wanaipata kwenye kota,” anasema.

Anasema maisha halisi ya polisi kwa kiasi fulani yanachangia kujiingiza katika vitendo vya kupokea rushwa na kukiuka maadili.

Mtwara
Maisha duni kwa askari polisi wa vyeo vya chini nchini yanaelezwa na baadhi ya polisi mkoani Mtwara kuwa ni chanzo cha wao kujiingiza katika vitendo vya uhalifu na unyanyasaji kwa wananchi.

“Kwa ujumla mazingira ni duni, tunakwenda lindoni tukiwa hakuna sehemu maalum kwa ajili ya lindo, mvua yetu, jua letu, ukirudi ofisini mabosi nao wanakunyanyasa…, ili uishi vizuri kwa sisi askari wadogo ni lazima ‘uji-attach’ na bosi ambaye akikupangia kazi yenye maslahi lazima umuachie kitu kidogo (fedha)” anasema mmoja wa polisi hao.

Chanzo/source ya hii habari?
 
Hata bila ya chanzo kilichoelezwa ni kweli kabisa,hali ya maisha kwa askari wetu mi mbaya saana,ukijumlisha na amri za kuua na kutesa wanasababisha wapate matatizo ya kisaikolojia,mbinguni hawahitajiki,duniani ndo kabisa,shetani naye hawataki!
 
Baadhi ya askari polisi kutoka mikoa mbalimbali nchini wameeleza sababu za wao kujiingiza katika kupokea rushwa kutoka kwa raia kuwa ni kutokana na kupata kipato kidogo ambacho hakitoshi kuhudumia familia zao.

Baadhi ya polisi waliozungumza nagazeti hilikutoka mkoani Mbeya kwa nyakati tofauti wanasema kuwa hali ya maisha yao ni mbaya, hasa kwa askari wasio na vyeo ambao ndio wanaoishi katika nyumba za polisi.

“Nyumba tunazoishi pale eneo la Sinde ni aibu, sisi wenye familia haifai hata kusimulia, kwani unapewa chumba kimoja cha kulala na sebule halafu unawatoto unafikiri nini kinaendelea hapo,”anasema askari mmoja ambaye hakutaka jina lake litajwe gazetini.

Anasema mara nyingi wamekuwa wakiwalaza watoto sebuleni bila kujali jinsia zao, kwamba wakati mwingine iliwazazi wanapohitaji kukutana faragha huwalazimu kwenda kulala katika nyumba za wageni.

“Huwezi kufanya faragha na mkeo huku watoto wakiwa wamelala sebuleni halafu wa jinsia moja hivyo kwa sisi wengine tunaamua kuingia gharama nyingine ya kwenda kulala katika nyumba za wageni ili kuepuka kuwaharibu watoto kisaikolojia,” anasema.

Askari mwingine kwa sharti la kutotajwa jina anasema mazingira ya nyumba hizo ni machafu na kuna msongamano mkubwa wa watu hasa katika huduma ya choo kwani hutumiwa na watu wengi.

“Ukitaka kuona adha ya choo ni muda wa asubuhi ambapo kila mmoja anahitaji huduma ya bafu kwa ajili ya kuoga na kuwahi kazini, inakuwa kama sinema vile hivyo mazingira ya nyumba zetu bado hayafai…,” anasema.

Kwa upande wake Koplo Atupele anasema kuwa kwa wale ambao ndiyo wanaanza kazi hupangiwa kulala kwenye bwalo ambapo hutandika magodoro chini, hulala eneo hilo mpaka watakapopata nafasi katika nyumba za serikali.

“Ndiyo maana utakuta askari wengine wanaamua kwenda kuishi uraiani ili kukwepa adha ambayo wanaipata kwenye kota,” anasema.

Anasema maisha halisi ya polisi kwa kiasi fulani yanachangia kujiingiza katika vitendo vya kupokea rushwa na kukiuka maadili.

Mtwara
Maisha duni kwa askari polisi wa vyeo vya chini nchini yanaelezwa na baadhi ya polisi mkoani Mtwara kuwa ni chanzo cha wao kujiingiza katika vitendo vya uhalifu na unyanyasaji kwa wananchi.

“Kwa ujumla mazingira ni duni, tunakwenda lindoni tukiwa hakuna sehemu maalum kwa ajili ya lindo, mvua yetu, jua letu, ukirudi ofisini mabosi nao wanakunyanyasa…, ili uishi vizuri kwa sisi askari wadogo ni lazima ‘uji-attach’ na bosi ambaye akikupangia kazi yenye maslahi lazima umuachie kitu kidogo (fedha)” anasema mmoja wa polisi hao.

Hakuna kitu kama hicho bwana kitendo cha kutoa na kupokea rushwa ni tabia ya mtu binafsi na wala sio kwamba kutokana na kipato cha askari, sema wewe umeamua kuwatumia askari ili kuchafua Jeshi la Polisi, hawa ni wafanyakazi wa serikali kama walivyo walimu wanalipwa kulingana na elimu yao. unatuongopea hapa kuwakoti askari wa mtwara ili kuonyesha kwamba wamekupatia hizo habari unataka kuwadhalilisha tu askari wa Mtwara, jipange utupatie chanzo cha uhakika bwana sio kuwalisha maneno ili kuaralishai taarifa yako, kama una ugomvi na askari malizana naye na sio kuwachafua kwa ugomvi wenu bwana mbona askari tunaishi nao huku uraiani na tupo nao vizuri tu katika shughuli mbalimbali za kijamii.
 
kipato kidogo kivipi?wakati wana mishara mizuri tu.
 
Uongozi mbovu wa jeshi la Polisi ndo unapelekea yote haya

Walipewa Wizara ya Peke yako kipindi fulani na JK ikawashinda hawa watu wa ovyo sana,wanashindwa kuona hata JWTZ kidogo wanavyojitahidi kuboresha maisha ya Askar wao?
 
Chanzo cha habari gazeti la mwananchi,,mm nakubaliana nawe kwan na walimu pia itabid wachukue rushwa,huku ni kujiendekeza
 
Back
Top Bottom