Hivi Yesu alipo mwambia Petro kuwa lolote utakalolifunga Duniani litakuwa limefungwa Mbinguni na lolote utakalolifungua Duniani litakuwa limefunguliwa Mbinguni,rejea Mathayo 16:19,Je Petro hakuwa Mwanadamu?Je Petro alikuwa Malaika?,Au basi jiulize mwenyewe badala ya kujivika blanketi la Ujinga ktk Yohane 20:22-23,Kwanini Yesu aliwapa mitume Uwezo wa kuondolea watu dhambi ili hali wao ni Wanadamu na wana mapungufu yao?,Tatizo lenu ninyi ni Uzuzu ndo unawasumbua sasa mimi nikienda kwa Papa au Askofu au Padre wangu nikaungama dhambi zangu wewe inakuuma nini?,Fuata yako bhana!,kila siku Midomo wazi kupiga umbea mambo yasiyowahusu.Mbona sisi habari za Wachungaji wenu kujifanya miungu hatuzisemi?Wapo wachungaji wanajiita Ma-transformer mbona hatuwasemi?,Wapo wanaojiita wazee wa kufufua watu cha ajabu watoto wanafia makanisani mwao,mbona hatuwasemi?,Wengine wamezaa na waumini wao mbona hatusemi?,Hivi bora yupi hapo,Anayefanya mambo kwa kufata Biblia au yule anayejitungia ya kwake?,Mkuu makinika sasa Kanisa Katoliki linaongozwa na Roho Mtakatifu,ndiyo maana halitakuja lianguke hata siku moja.
Papa aache uongo, kwa dunia ya sasa hilo haliwezekani, hasa kwa mtu kama yeye, TV hadi barabarani unazikwepaje, labda awe anavaa miwani ya mbao.
Ili kuishi Maisha matakatifu wakati mwingine inakupasa uepuke na vishawishi vya dunia. Siyo unaangalia Tv na kuanza kutamani mademu humo mpaka akili yako inaingiwa na tamaa za kishetani. Yesu anasema kama kiungo cha mwili kinakusababishia dhambi basi ni kheri uking'oe. Pope Francis kahamua kufanya hivyo
Wa Rc wengi hawajui maandiko na kuyatafasili wao lolote atakalo sema papa kwao ni maagizo ya Mungu na kwale wenye ufahamu hukimbia kutafuta malisho mazuri au huanzisha huduma humohumo kanisani kama karismatik
Papa FRANCIS ASEMA KUWA HAJAWAHI KUTAZAMA TV KWA MIAKA 25 sasa.
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, amesema kuwa hajawahi kutazama runinga kwa miaka 25 sasa. Papa Prancis ambaye amewatamausha wachanganuzi wa kanisa hilo kwa kususia maisha ya kifahari katika makao makuu ya kanisa Vatican alisema alitizama runinga mara ya mwisho tarehe 15 mwezi julai mwaka wa 1990.
Alikoma kutizama runinga baada ya kumuahidi maria mtakatifu kuwa angekoma kushiriki uraibu huo.
Isitoshe raia huyo wa Argentina amesema kuwa hatumii mtandao wa intaneti. Na akitaka kupata habari za kimataifa , Papa anasema kuwa huwa anatenga dakika 10 tu ya muda wake kusoma gazeti la kiitaliano. Papa Francis vilevile anafuatilia habari za klabu yake maarufu huko Argentina kupitia kwa wahudumu wake ambao humsimulia yanayojiri.
Je unaweza kukaa mbali na Runinga yako Simu yako ama mtandao wa Intanet japo kwa siku moja ?
We ----- unaropoka nini?,hivi ninyi ndo mnajua maandiko gani zaidi ya kukariri vimistari vichache tu kwenye bible!,Kwanza wacheki Mapadre wetu wanavyokamua Kitabu halafu linganisha na wachungaji wenu ambapo mtu akilala,akiamuka amepewa Uchungaji eti naye anajua biblia Ee booo!,Biblia imekuwa kitabu cha mchezo mchezo hivyo?.We tena ukome kurudia kauli hiyo,
Kwani huyo Maria alimwambia kuna madhara gani kutazama TV? Sasa kama hajui kinachiendelea huku duniani atakuwaje msaada kwa wengine? Watu wengine bana.
Aliongea na maria lini
Kwani huyo Maria alimwambia kuna madhara gani kutazama TV? Sasa kama hajui kinachiendelea huku duniani atakuwaje msaada kwa wengine? Watu wengine bana.
We ----- unaropoka nini?,hivi ninyi ndo mnajua maandiko gani zaidi ya kukariri vimistari vichache tu kwenye bible!,Kwanza wacheki Mapadre wetu wanavyokamua Kitabu halafu linganisha na wachungaji wenu ambapo mtu akilala,akiamuka amepewa Uchungaji eti naye anajua biblia Ee booo!,Biblia imekuwa kitabu cha mchezo mchezo hivyo?.We tena ukome kurudia kauli hiyo,
oooh! kweli unayemjibu kakukera! ila vipi kuh wakatoliki wanavyoongea juu ya viongozi wa Kikristo wa madhehebu mengine?? kuna watu wanaongoza kwa kuponda na kudharau madhehebu mengine kama wa-RC? tena hasa huwa mnaonyesha chuki za wazi kwa wapentecoste! kila mchungaji wa kipentecoste nyie humwita tapeli, mwizi, akiwa na mafanikio mnamwita freemason! Kumbe mkigusiwa viongozi wenu mnaumia sana eeh! so nw umeona na wenzenu wanavyoumiaga? Mimi binafsi hakuna kitu kinanichefua kama kudharauliana viongozi wa dini...bt Catholics ndo mnaongoza...mkijiona nyie ndo Christians tu...wengn vibaka! jirekebisheni! Yesu aliacha ukristo na sio ukatoliki.
Issue sio ukatoliki, uprotestant, upentecoste....issue ni Yesu! so kila mtu amweshimu mwenzie.
mapadre wanajua sana maandiko tatizo hawataki kusema ukweli wa neno la Mungu,, wao wanajali matumbo yao na kuheshimu wanadamu badala ya Mungu,hapo tu ndio wameanguka.
papa mwenyewe anajua kabisa kuwa yupo kinyume na Mungu katika mambo mengi ila sasa haoni pa kuanzia ili ajinasue, shetani naye ndio anazidi kuwafumba macho mwisho wa siku anasurrender kuwa wakala wa shetani.
Wa Rc wengi hawajui maandiko na kuyatafasili wao lolote atakalo sema papa kwao ni maagizo ya Mungu na kwale wenye ufahamu hukimbia kutafuta malisho mazuri au huanzisha huduma humohumo kanisani kama karismatik
Pia anaonekana kichwani ni boksi boksi kabisa.Ushawahi kusikia papa yupo nchi kavu?Hapo uelewa wako mdogo sana.Mfinyuuu saana yana unahitaji BRN....Acha dharau!,dharau haifai nani anaidharau au kubeza Imani yako?,basi tuheshimiane,heshima ni kitu bora sana,hata km Kitu fulani au Imani fulani hauiamini basi waache wanaoamini waamini wala usianze dharau na kejeli,tukisema tuanze kudharauliana hakika hatutafika mbali.
Kwani huyo Maria alimwambia kuna madhara gani kutazama TV? Sasa kama hajui kinachiendelea huku duniani atakuwaje msaada kwa wengine? Watu wengine bana.
Mkuu umetoa point za nguvu hata mmoja atakaye kujibu mara ngapi tumeona Waroma wakiwatukana akina Kakobe wandhani sisi hatuumii.Majizi yote kwenye nchi hii yanatoka Rc si viongozi wa serikali wala waumini wao wote hovyo