Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,312
SijaoWewe umeolewa au umeoa??
Bado navuta mda nawaangalia rafiki zangu tuUna ndoa? Au lomoni tu
nakazialomoni
kama hujaoa wewe experience ya ndoa umeipata wapi???Sijao
point kubwa sana umenenakama hujaoa wewe experience ya ndoa umeipata wapi???
Kama unavyosema MAISHA YA NDOA
sometime utumie akili
According kwa wale walio oa kutokana na malamiko yao mara nyingi ukifanya diagnosis unatambua tatizo lipo wapikama hujaoa wewe experience ya ndoa umeipata wapi???
Kama unavyosema MAISHA YA NDOA
sometime utumie akili
Atumie akilipoint kubwa sana umenena
Shida mkuu inanzia hapo kwa upande wako unajiona uko sawa ndio maana kila mtu tunatofautiana kwenye mtazamo fikra na kila kitu so kwa mtazamo wako au experience yako ya ndoa ni tofauti na mwingine kwako unaweza ukaona upo sawa ila ukijaa kuleta changamoto yako kila mtu ataichambua kwa uelewa wake na experience yakeAtumie akili
Changamoto inakuja pale ambapo mmeshindwa kufwataNdoa ni nzuri Kama wote mnafata misingi ya ndoa
Migogoro lazima itokee then kuchepuka kisha talakaChangamoto inakuja pale ambapo mmeshindwa kufwata
Tuitimishe kwa kusema.... kijana hujaoa huwezi kuzungumzia mambo ya ndoa basi mtu mwenye akili timamu hawezi akakuelewa,wewe ongelea issue za mabachela utaeleweka vizuri sana,.Shida mkuu inanzia hapo kwa upande wako unajiona uko sawa ndio maana kila mtu tunatofautiana kwenye mtazamo fikra na kila kitu so kwa mtazamo wako au experience yako ya ndoa ni tofauti na mwingine kwako unaweza ukaona upo sawa ila ukijaa kuleta changamoto yako kila mtu ataichambua kwa uelewa wake na experience yake
Ninyi ndio mnao Watisha vijana wasio kwa kuwapa picha mbaya juu ya ndoa japo ndio kuna ndoa ngumu kutokana kila mtu ana tabia yake pia kwenye mahusiano kabla ya ndoa kuna kuwa na maigizo ila wapeni vijana picha nzuri juu ya ndoaTuitimishe kwa kusema.... kijana hujaoa huwezi kuzungumzia mambo ya ndoa basi mtu mwenye akili timamu hawezi akakuelewa,wewe ongelea issue za mabachela utaeleweka vizuri sana,.