Maisha ya ndoa

Mwanamke kaumbwa kukueshimu na sio kukupenda heshima ikishuka game limeisha!
 
Naelewa ili tuishi kwa Aman basi nirudie tabia yangu ya zamani ili kupunguza maumivu na je nikirudi uko tutakufa kwa maradhi maana kila mtu ataleta kwa muda wake, iman haipo hatuaminian tena, najaribu kuwaza namna tutakavyojipanga ili tuanze upya sipaon pa kuanzia hali ni tete
 
Ila nayafanyia kazi mawazo yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…