Maisha ya ndoa si ya kukariri na kamwe usikurupuke kuoa mana waweza juta maisha yako yote
Omba sana Mungu akupe mke mwenye akili za maisha na hofu ya Mungu mtakayependana mpaka mkazikana hapo ndio utaona utam wa ndoa
Kuwasaidia watu haimanishi labda watu walioko kwenye ndoa ndio wanakumbana na changamoto pekee hata wasiooa hali hua tete sometimes, wewe unayetoa msaada kesho na kesho kutwa utakuja fikwa na jambo hao hao wanaokuomba ndio watakaokusaidia hivo saidia pale inapobidi na iwe ni siri ya moyo wako na uliyemsaidia pamoja na Mungu wako.
ukipata mke au mume sahihi umepata tulizo la nafsi, ukiweza kuridhika na hali uliyonayo huku una mtu ambae unaona kabisa tunaendana nafsi yako hua na amani, wewe hilo lisikuchanganye, omba tu upate mtu sahihi ndio utaelewa kwan ndoa ni zaidi ya kutafta riziki pekeeSawa mkuu
Ila tatzo wanajiona wnyw ndo wanajua kuatafuta kwa vle wana familia mm sina kama sina akili za kimaisha
Live ur life,acha kuangalia watu wala kusikiliza watu.ulikuja duniani peke yako na utaondoka peke yako,ishi maisha yako na usiishi maisha ya kumfurahisha mtu,Sawa mkuu
Ila tatzo wanajiona wnyw ndo wanajua kuatafuta kwa vle wana familia mm sina kama sina akili za kimaisha
Pale mvaa viatu anapojaribu kumvalisha viatu asiyetaka kuvaa viatu.😀😀Hakuna mahusiano kati yakuomba msaada na ndoa wengi wanaoomba msaada hawana wake hapo vipi? Ila ulitumia kauri mbovu sana yaani mtu anakuomba msaada alafu unamwambia habari zakumlishia familia yake! Aaa mtake radhi ndugu.fanya haraka uoe isije ukaolewa wewe baada kakufumaniwa
Maji ya Moto si utaungua babu au mi ndo mjinga, ingekuwa vyema yangekuwa vuguvugu mbona sasa ndoa ni matesoKaka oa hautojuta, mimi hapa nasubiria kwenda kuogeshwa maji ya moto bafuni..
Maji ya Moto si utaungua babu au mi ndo mjinga, ingekuwa vyema yangekuwa vuguvugu mbona sasa ndoa ni mateso
Sina maaana ya maji ya moto ya kuunguza.. rogically nitaogaje maji ya moto ya kuunguza mkuu
Poa isiwe hoja ila nimeshtuka sana, hasa unaposema utaogeshwa!