Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,487
Msanii wa kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji ameshare picha kadhaa kwa mashabiki wake wa kwenye mitandao ya kijamii kuonyesha jinsi anavyowajibika akiwa shambani kwake.
asante kwa kunitia moyo!Maisha yako ni kama ngalawa ambayo wewe ndio nahodha wake.....juhudi zako na umakini wako wa kupiga makasia ndivyo vinavyokuhakikishia kufika salama safari huko ulipopanga kwenda......uvivu wako na uoga wako wa kupambana na mawimbi makali ya bahari vinaweza kuifanya safari yako iwe ngumu na hatimaye kuishia njiani......
Safari yoyote ya maisha inaanza na hatua moja mbele.......
Kumbuka hakuna jambo lenye kheri linalopatikana kiurahisi....mchakato wa kuifikisha boti yako nchi kavu unataka ujasiri na uvumilivu wa kiwango cha juu sana......
Masanja bhana...hapa mkwanja ulikata akaamua akapige debe stend apate hata jero!!
dhaha
duu iyo sembe alone?Msanii wa kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji ameshare picha kadhaa kwa mashabiki wake wa kwenye mitandao ya kijamii kuonyesha jinsi anavyowajibika akiwa shambani kwake.
KweliSafi sana...jitihada zinalipa. Halafu mtu akifanikiwa wajinga fulani na uvivu wao wa kufikiri na kujibidiisha kufanya kazi utawasikia wakisema "jamaa ni freemason)!!!
Maisha yako ni kama ngalawa ambayo wewe ndio nahodha wake.....juhudi zako na umakini wako wa kupiga makasia ndivyo vinavyokuhakikishia kufika salama safari huko ulipopanga kwenda......uvivu wako na uoga wako wa kupambana na mawimbi makali ya bahari vinaweza kuifanya safari yako iwe ngumu na hatimaye kuishia njiani......
Safari yoyote ya maisha inaanza na hatua moja mbele.......
Kumbuka hakuna jambo lenye kheri linalopatikana kiurahisi....mchakato wa kuifikisha boti yako nchi kavu unataka ujasiri na uvumilivu wa kiwango cha juu sana......
Wajanja tunaelewaAshabeba mzigo sana ,sasa anazugia kwenye kilimo.