Niliempata miezi miwili iliopita ana wivu au sjui ni utoto +upumbavu, mda wote anataka eti nimpe maneno mazuri, anasema naongea kama mshkj wake, kunifkiria mda wote niko na mwanamke, anasema namtolea ukali wakati mm najihisi naongea nae kawaida tu, kero imekua kubwa kila wakati ni sim tu akinikuta kwenye social media yyte ananiombia niko online nachati na wanawake wakati mm mara nyingi naangalia habari, nahisi time yake ya red card imefika asinizingue
Sent from my JSN-L21 using
JamiiForums mobile app