Igombe fisherman
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 2,057
- 3,601
Anahitaji ushauri nasahaNimeamua bora tu nirudi island japo home nilikanyaga juzi tu lakini bora tu niwe kule. Kama jina langu lilivyo ndo uhalisia wa job yangu.
Nimetimba home nakuta kashanuna eti sijatimiza ahadi ya kubadiri tv ya lg 24 ye anataka 32 na nilimwambia nitakuja nayo. Sasa mi mambo yamekuwa haajatulia nikaja mikono mitupu kaniwakia akisema majirani wote wameshatoka ujima wa kuangalia tv kwenye vi tv vidogo kama simu. Mi nimemwambia mambo hayakuwa vizuri kawaka kwelikweli mara hajasuka wiki mbili mara nini. Mi nikaona isiwe tabu nikaenda kuna kabaa hapo tu siyo mbali na home kaa pale kunywa tu balimi zangu huku nawaza yale mapokezi ya miezi miwili sipo home ndo hayo
Mara counter ananiuliza. Mbona siyo kama kawaida yako mi nikamjibu maisha tu sister yanachanganya. Ye akaniambia kweli maisha ni magumu kote ni kukomaa na kuvumilia tu. Mara mawazo yangu yakahama nikaanza kujiuliza. Huyu muuza pombe mbona kanipa moyo wakati hana faida na mimi ila wife mwenyewe hata sms ya samahani hamna na ndo mwanandani wangu. Toka 15:48 niko bar mpaka huu muda saa 22:22 hakuna hata habari yako. Nikaamua tu nimjaribu huyu kama anaweza nipa bia ya mkopo kama namsanifu tu. Si akanipa na kuninunulia nyingine ye kama yeye. Sasa nikawa tena najiuliza inamaana huyu ananiamini kuliko wife. Inamaana baani imekuwa sehemu yangu ya faraja kuliko home pale napokuwa napitia magumu? Nilitoka huko sikuyajenga na mbususu sikuomba nae kazidi kununa nikarudi baani jana nimetoka kule 03:26 am nikalala nimeamka nikapanda boat kurudi island tu sitaki shida. Sasa hivi ndo anaanza kunilaumu kwa uamuzi wa haraka wakati mi napunga upepo mzuri kabisa wa komezi huku chombo ikikata mawimbi ziwa vick
Mi nimeamua tu kurudi island. Yaani muuza bar ananiamini kuwa ntaleta pesa yake ila wife anashindwa kuniamini kama nitakuza tv homePole, msamehe bure...
Hajui kuna kupata na kukosa...
Mi nimeshangaa mtu anayenionaga mara moja moja japo show yangu ni yaukweli ananiamini kuliko anayenijua kwa kila kituBaamedi wote wana utu kama ukimuonesha utu..Mungu awape baraka zao.........
Anajifanya anapenda maendeleleo si atoke ndani akatafute pesa...Mi nimeamua tu kurudi island. Yaani muuza bar ananiamini kuwa ntaleta pesa yake ila wife anashindwa kuniamini kama nitakuza tv home
Wakati mwingine wanawake wanatufanya tuungane na wazee wa kataa ndoa. Yaani nyumba zinakuwa jehanamu mwanaume anaona bora akalale kwenye nyumba ya mabanzi na turubari kuliko home townAnajifanya anapenda maendeleleo si atoke ndani akatafute pesa...
Hapo kaona wenzie wamenunua...
Hajui vidole havilingani...
Aache kukutesa...
Unamaanisha ushamuonesha show huyo muuza bar yaani ushatembea naye?Mi nimeshangaa mtu anayenionaga mara moja moja japo show yangu ni yaukweli ananiamini kuliko anayenijua kwa kila kitu
Hakika mkuu kuna muda hawa watu wanazingua sana. Hapo alishawatambia mashosti zake kuwa mwezi huu hauishi ukutani itaning'inia nchi 32Wakati mwingine wanawake wanatufanya tuungane na wazee wa kataa ndoa. Yaani nyumba zinakuwa jehanamu mwanaume anaona bora akalale kwenye nyumba ya mabanzi na turubari kuliko home town
Hapana mkuu. Huwa nikitimba pale kama niko fiti show yangu niya kivuvi kweli. Huwa hatuagizagi bia mojamoja sisi. Huwa ni chafua meza tuUnamaanisha ushamuonesha show huyo muuza bar yaani ushatembea naye?
Mh au ningeitoa na ile ili asubiri vizuri 32Hakika mkuu kuna muda hawa watu wanazingua sana. Hapo alishawatambia mashosti zake kuwa mwezi huu hauishi ukutani itaning'inia nchi 32
Nitajifunza kwahilo. Ila kwa sasa acha nitambae na huu uamziUsichukulie serious sana kila neno analotamka mwanamke wakati mwingine hata hamaanishi asemalo atiii!!
Jina langu la mwanza ila hapa ni bukoba. Hivyo sijui hata maendeleo yakeDah igombe, long time. Hivi ile bar ya beach ya kanisa bado ipo?
Ungefanya hivyo ili anune vizuriMh au ningeitoa na ile ili asubiri vizuri 32
Ahsante kwa ushauri mzuri. Nimejifunza na ntaendelea kujifunza kupitia comment zenu wakuuNever promise Just surprise
Usipende kuaidi vitu hata kama unaweza kununua kitu jifanye huwezi ila nunua na umfanyie surprise.
Sio mwanamke TU hata watoto.