Vifo vya kushitukiza duniani vimeenea,Leo alikuwa mzima kesho tuaambiwa kafa.Ukimuona kwenye jeneza utadhani ataamka, Mtu na afya yake kaburini anakwenda,Jiulize ndugu yangu ukifa leo utakuwa mgeni wa nani ??

Kudadeki njia zenyewe haushikiliwi pakuelekea, ningekua mimi apo ningepita njia ya mkono wa kulia, ikigoma narudi huku nyuma nilikotokea, ikishingikana na hivyo natafuta kamkeka kangu napozi hapo njia panda!
Kushoto sendi, mweh!
Vifo vya kushitukiza duniani vimeenea,Leo alikuwa mzima kesho tuaambiwa kafa.Ukimuona kwenye jeneza utadhani ataamka, Mtu na afya yake kaburini anakwenda,Jiulize ndugu yangu ukifa leo utakuwa mgeni wa nani ??
Watu hatutaki kufikiria haya muda huyu tukiwa wazima, yatatuletea discomfort zisizokuwa za msingi katika maisha yetu. Tunatwanga tu kama rooho zetu zinanvyotutuma, halafu hayo ya peponi au motoni tutakutana nayo huko mbele kwa mbele.Roho zetu zinapotutuma kumchakachua Mungu tunamchakachua tu, mengine baadaye. Hii dunia we acha tu. Bora lakini umetoa hiyo picha kwenye post yako, angalau mtu anappoiona atapata muda wa kufikiria kitu