Wengine wanaigiza kabisa anafanya...ukimpa ndoa tu kila kitu Daaaaaaaadaaaaaaaaa Mpelekee baba maji ya kuoga...daaaaaaadaaaaa msongee baba ugali....daaaaaaaadaaaaaaa mnyoshee baba shati! Afu hg akiwa mke mwenza lawama kibao[emoji23]Umeongea mawazo yangu kabisaaa...eti mtu anasema siwezi kufua nguo za boyfriend kwani mume wangu huyo? My dear mbona chupi unavua kwani mumeo huyo? Fanya kwa mapenzi tu sio kwa lengo la kuonekana waifu matirio maana hapo napo ukiachwa utaumia ulivyokuwa unainamisha mgongo. Unafanya kwaajili yako mwenyewe usikae sehemu chafu au kuwa na mtu mchafu.
[emoji23][emoji23][emoji23]huyu hta youtube hapajui jaman! Kayataka tuMis powers hata mashoga mnachangia sana kutowapa mafunzo marafiki zenu juu ya uhalisia wa maisha, nyinyi mnapokuwa pamoja mna discuss fashion na celebrities tu, hii ni Africa mwanamke bila ya kuwajibika kwa mume kwa mambo madogo madogo haitokuwa rahisi kuolewa. Mwezi wa November mwaka Jana rafiki yangu alipokea posa kwa mdogo wake, December ikawa harusi, tarehe 18 mwezi huu Demu karudi kwao na talaka, kuulizwa nini kasema nimeachwa sijui kupika Jambo ambalo rafiki yangu alilipigia kelele sana kwa mama yake dogo afundishwe kupika lakini hawakutilia umuhimu. Mwanaume anahangaika kutafuta mazaga, anarudi home anakuta umepika mataptap, aisee!!! Mambo hayo mtufanyie kama sisi twenye uvumilivu ila sio wengine asee
Umeongea point sanaaaa. I appreciate.Mis powers hata mashoga mnachangia sana kutowapa mafunzo marafiki zenu juu ya uhalisia wa maisha, nyinyi mnapokuwa pamoja mna discuss fashion na celebrities tu, hii ni Africa mwanamke bila ya kuwajibika kwa mume kwa mambo madogo madogo haitokuwa rahisi kuolewa. Mwezi wa November mwaka Jana rafiki yangu alipokea posa kwa mdogo wake, December ikawa harusi, tarehe 18 mwezi huu Demu karudi kwao na talaka, kuulizwa nini kasema nimeachwa sijui kupika Jambo ambalo rafiki yangu alilipigia kelele sana kwa mama yake dogo afundishwe kupika lakini hawakutilia umuhimu. Mwanaume anahangaika kutafuta mazaga, anarudi home anakuta umepika mataptap, aisee!!! Mambo hayo mtufanyie kama sisi twenye uvumilivu ila sio wengine asee
Ni kweli, kuna mapungufu mengine ni ya kuelezana tu mtu unamuacha uliyekuwa nae miaka kumi kisa mtu kaja geto mafua mapazia daaahWengine wanaigiza kabisa anafanya...ukimpa ndoa tu kila kitu Daaaaaaaadaaaaaaaaa Mpelekee baba maji ya kuoga...daaaaaaadaaaaa msongee baba ugali....daaaaaaaadaaaaaaa mnyoshee baba shati! Afu hg akiwa mke mwenza lawama kibao[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo hamna mapenzi. Yaaani mtu unayempenda Haswaaa umekufa umeoza huoni husikii mmeshare mambo kibao unamuacha kisa hajakufulia mapazia?
Huyo ni chizi kwamba ukimwambia hatoelewa? Standards gani hizi?
Ila wanaume sisi bhana hapo hapo wanawake wakiweka standards zao kuwa hawaolewi na watu wasiokua na ela mnaanza kuwatukana na kuwadhalilisha, nyie mbona hamuoi wanawake wasiojua kupika? Alafu nimeona Kuna wanawake wanasapoti. Unafiki tu.
Yaaani Ni Afrika tu ambapo Kahaba au tapeli anayeweza kufanya kazi za ndani ni eligible for marriage. Double standards.
Wanaume Nawashauri muoe Rice Cooker, Vacuum Cleaner, Washing Machine na Mitungi ya Gesi iwafanyie kazi. Pathetic.
Anyway inaezekana Umri wangu hauruhusu Kuweza kuchangia Mada hizi. Ngoja niende jukwaa La vichekesho kwenye ule uzi wa vichekesho vya mtandaoni. Huku wanafiki wengi.
Kwa hiyo unataka kusema heshima tu! Inatosha. Kisa mnapendana kwa dhati and vitu vingine amvumilie!! Sikubaliani na wewe.Bongo hamna mapenzi. Yaaani mtu unayempenda Haswaaa umekufa umeoza huoni husikii mmeshare mambo kibao unamuacha kisa hajakufulia mapazia?
Huyo ni chizi kwamba ukimwambia hatoelewa? Standards gani hizi?
Ila wanaume sisi bhana hapo hapo wanawake wakiweka standards zao kuwa hawaolewi na watu wasiokua na ela mnaanza kuwatukana na kuwadhalilisha, nyie mbona hamuoi wanawake wasiojua kupika? Alafu nimeona Kuna wanawake wanasapoti. Unafiki tu.
Yaaani Ni Afrika tu ambapo Kahaba au tapeli anayeweza kufanya kazi za ndani ni eligible for marriage. Double standards.
Wanaume Nawashauri muoe Rice Cooker, Vacuum Cleaner, Washing Machine na Mitungi ya Gesi iwafanyie kazi. Pathetic.
Anyway inaezekana Umri wangu hauruhusu Kuweza kuchangia Mada hizi. Ngoja niende jukwaa La vichekesho kwenye ule uzi wa vichekesho vya mtandaoni. Huku wanafiki wengi.
Kwa hiyo mtakula heshima?Sijui imeandikwa wapi ety mwanamke ajue kupika kufua kutoa buibui ndio atakuwa mke bora ..mkuu mwambie bro ako atafute pesa zisaidie mambo kama ayo.
Mwanamke anakazi ya kumuheshimu mwanaume katika ndoa basi
It is never to late to begin. Start now
Mleta uzi ndo huyo huyo bro wake, usijali wala nini! [emoji23][emoji41]
Mleta uzi ndo huyo huyo bro wake, usijali wala nini! [emoji23][emoji41]